Author: Cynthia Chacha

1 107 108 109 110 111 274 1090 / 2733 POSTS
Magazeti ya leo Novemba 29,2022

Magazeti ya leo Novemba 29,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumannee Novemba 29,2022. [...]
Rais Samia azitaka Jumuiya CCM kuvunja makundi

Rais Samia azitaka Jumuiya CCM kuvunja makundi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumuiya ya Wanawake UWT kuongeza Nguvu katika k [...]
Bilioni 7 kumaliza kero ya maji Ludewa

Bilioni 7 kumaliza kero ya maji Ludewa

Serikali imetoa zaidi ya Sh.bilioni 7 kwa wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa),kwa ajili ya kutekeleza mradi  mkubwa wa maji kat [...]
Lissu: Rais hajafanya lolote katika madai yetu

Lissu: Rais hajafanya lolote katika madai yetu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kitaamua kama kiendelee mazungumzo na CCM au la ifikapo mwezi ujao kwa kile wanachodai kuwa mambo [...]
Nchi zinazoongoza kwa mfumuko wa bei za vyakula

Nchi zinazoongoza kwa mfumuko wa bei za vyakula

Kwa mujibu wa tathmini ya Benki ya Dunia, Zimbabwe ndiyo nchi inayoongoza kuwa na gharama kubwa ya chakula huku ikitajwa kuongezeka kwa asilimia 321 k [...]
Magazeti ya leo Novemba 28,2022

Magazeti ya leo Novemba 28,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania Jumatatu Novemba 28,2022. [...]
Rais Samia kufanya ziara Lindi

Rais Samia kufanya ziara Lindi

Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya kikazi mkoani Lindi ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa kushiriki maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duni [...]
Rais Samia : Tunzeni siri za serikali

Rais Samia : Tunzeni siri za serikali

Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia watunza kumbukumbu na nyaraka nchini kuwa Serikali itawalinda kwa kutambua kada hiyo ni kitovu cha Serikali. [...]
Mgawo wa maji Dar, Pwani umekwisha

Mgawo wa maji Dar, Pwani umekwisha

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala ametangaza kusitishwa rasmi kwa mgao wa maji katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani. Makala ameyasema hayo [...]
Hatimaye mkataba wa TPA na TICTS wafika tamati

Hatimaye mkataba wa TPA na TICTS wafika tamati

Hatimaye kilio cha wadau wa bandari kimesikika baada ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kusitisha mkataba wake na Kampuni Binafsi ya Kimataifa ya Ku [...]
1 107 108 109 110 111 274 1090 / 2733 POSTS
error: Content is protected !!