Author: Cynthia Chacha
Mpango: Mrema alikuwa kiongozi mkweli na mzalendo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wamefika salasala Jijini Dar es salaa [...]
Sensa ni siku 7 tunaomba uvumilivu
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Anne Makinda amesema wananchi watahesabiwa kwa siku saba hivyo wananchi ambao hawakufikiwa na makarani jana wasich [...]
Magazeti ya leo Agosti 24,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Agosti 24,2022.
[...]
Orodha ya Waombaji waliodahiliwa zaidi ya Chuo Kimoja
Orodha ya Waombaji waliodahiliwa zaidi ya Chuo Kimoja au Programu zaidi ya moja
[...]
Madhara ya kutumia kondomu
Watu wengi wanatumia kondomu kama kinga ya kujilinda dhidi ya magonjwa ya zinaa na wengine kuepuka kupata mimba lakini ukweli ni kwamba kondomu zina m [...]
Karani wa Sensa ajinyonga Tabora
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Batilda Buriani ametoa taarifa ya kifo cha mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa [...]
Wenye ulemavu wamshukuru Rais Samia kwa utaratibu mzuri wa sensa
Walemavu wa viungo mkoani Mtwara, wameishukuru serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuweka utaratibu mzuri ambao umewawezesha kushiriki kik [...]
Karani mwingine wa Sensa aporwa kishkwambi Arusha
Karani wa Sensa ya Watu na makazi Jiji la Arusha, Sarapia Kiwango, ameporwa kishikwambi chake, wakati akijiandaa kwenda kuhesabu makundi maalum, usiku [...]
Karani aporwa kishkwambi Katavi
Karani wa Sensa Kata ya Majimoto, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi, Kenan Kasekwa, amevamiwa usiku wa kuamkia leo na kuporwa kishikwamb [...]
Askari aliyempiga virungu kijana achukuliwa hatua
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyessha kijana mmoja aliyefungwa pingu na kupigwa virungu [...]