Author: Cynthia Chacha
Rais Samia afanya uteuzi TAWA na TALIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi ufuatao;
[...]
Magazeti ya leo Julai 20,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Julai 20,2022.
[...]
Rais Samia afanya uteuzi, Sirro awa Balozi Zimbabwe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Julai, 2022 amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
Amempandisha cheo Ka [...]
Mvua kunyesha hadi mwezi Agosti
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema hali ya mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo ya Pwani ikiwemo jijini Dar es Salaam zitaendelea hadi [...]
Iringa, Mbeya na Njombe baridi yafika 4°C
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kwamba hali ya baridi itaendelea kuwepo ambapo katika mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya baridi inatarajiw [...]
Tanzania kupokea trilioni 2.4 mkopo kutoka IMF
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia mkopo wa dola za Marekani bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2.422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi [...]
Kagongwa kupata umeme
Waziri wa Nishati, January Makamba amemuagiza Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Grace Ntungi kuhakikisha ndani ya wiki mbili kuanzia jana J [...]
Kuandika wosia sio uchuro
Wizara ya Katiba na Sheria imeiagiza Wakala wa Usajili, Ufilisia na Udhamini (RITA) kukusanya maoni kwa wananchi ya nini kinachosababisha wananchi kuw [...]
Mzee: hakuna haja kuandikwa katiba mpya
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Abdulhamid Yahya Mzee amesema hakuna haja ya kuandikwa katiba [...]
Fahamu kuhusu Homa ya Mgunda
Baada ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kutoa taarifa kuhusu ugonjwa wa Homa ya Mgunda (Leptospirosis), wizara hiyo imetoa tahadhari kwa wananchi na nji [...]