Author: Cynthia Chacha

1 … 130 131 132 133 134 … 283 1320 / 2821 POSTS
TANESCO Pwani yavuka lengo

TANESCO Pwani yavuka lengo

Shirika la Umeme (TANESCO) Mkoa wa Pwani limeunganishwa wateja 43,000 na kuvuka lengo la kuunganishia wateja 20,000 kipindi cha mwaka 2022. Akizung [...]
Rais Samia aiwasha Kigoma

Rais Samia aiwasha Kigoma

Rais Samia Suluhu Hassani jana Oktoba 17,2022  amezima umeme uliokuwa unatumia jenereta na kuwasha umeme wa gridi ya Taifa na kuwataka wananchi kutunz [...]
Magazeti ya leo Oktoba 18,2022

Magazeti ya leo Oktoba 18,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Oktoba 18,2022. [...]
Ally Kamwe afiwa na mwanawe

Ally Kamwe afiwa na mwanawe

Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe ametoa taarifa ya kufiwa na mtoto wake Latiffah wakati yeye akiwa nchini Sudan ambapo timu yake ikicheza mchezo w [...]
Ajinyonga kisa kunyimwa mshahara

Ajinyonga kisa kunyimwa mshahara

Ofisa Muuguzi (II) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila, Dar es Salaam, Sarwat Soluwo amedaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kilichodaiwa mateso ali [...]
Rais Samia : Punguzeni kidogo spidi

Rais Samia : Punguzeni kidogo spidi

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi Runzewe Wilaya ya Bukombe mkoani Geita kupunguza kasi ya kuzaa ili huduma za kijamii na fursa za maendeleo [...]
Rais Samia: Tunakwenda kuandika historia Kigoma

Rais Samia: Tunakwenda kuandika historia Kigoma

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Mkoa wa Kigoma leo unaandika historia kwa kuzimwa kwa majenereta yaliyokuwa yakizalisha umeme na sasa unaunganishwa k [...]
Magazeti ya leo Oktoba 17,2022

Magazeti ya leo Oktoba 17,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Oktoba 17,2022. [...]
Wito wa Rais Samia kwa wananchi wa Kakonko

Wito wa Rais Samia kwa wananchi wa Kakonko

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kuhakikisha wanatunza miundombinu ya afya inayojengwa na serikali ili [...]
GEITA: Vijiji 353 vina umeme, 133 mbioni kufikiwa

GEITA: Vijiji 353 vina umeme, 133 mbioni kufikiwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua kituo cha kupokea, kupooza umeme cha Mpomvu kilichopo Mkoa wa Geita. Aki [...]
1 … 130 131 132 133 134 … 283 1320 / 2821 POSTS
error: Content is protected !!