Author: Cynthia Chacha

1 131 132 133 134 135 245 1330 / 2444 POSTS
Marufuku kuhubiri ndani ya mabasi

Marufuku kuhubiri ndani ya mabasi

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafi Ardhini (LATRA), Habibu Suluo amesema kwa mujibu wa kanuni ni marufuku kwa Wafanyabiashara na wanaohub [...]
Waliorusha picha za ajali Mtwara wasakwa

Waliorusha picha za ajali Mtwara wasakwa

Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Gaguti amewataka mara moja wale wote waliosambaza picha za miili ya watoto wa shule ya msingi King Dav [...]
Magazeti ya leo Julai 27,2022

Magazeti ya leo Julai 27,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Julai 27,2022. [...]
Ufafanuzi wa 23.3% kwenye mshahara

Ufafanuzi wa 23.3% kwenye mshahara

Msemaji Mkuu wa Serikali, Msigwa Gerson amesema leo Serikali imekutana na viongozi wa TUCTA kwa ajili ya kuwasikiliza, baada ya mazungumzo ya awali vi [...]
Rais Samia afanya uteuzi

Rais Samia afanya uteuzi

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Caroline Kitana Chipeta kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini [...]
Rais Samia atuma salamu za pole Mtwara

Rais Samia atuma salamu za pole Mtwara

Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa wafiwa waliopoteza ndugu kufuatia ajali iliyotokea Mtwara na kusababisha vifo vya watu 10 wakiwemo [...]
Ajali ya basi la shule yaua watu 10 Mtwara

Ajali ya basi la shule yaua watu 10 Mtwara

Watu 10 wamefariki asubuhi hii baada ya Basi dogo la Wanafunzi (Toyota Hiace T207 CTS) la Shule ya King David Mtwara kupata ajali Mikindani Mtwara baa [...]
Amuua mkewe kisa elfu kumi

Amuua mkewe kisa elfu kumi

Jeshi la polisi mkoani Manyara linamshikilia Petro Basso (38) mkazi wa Gabadaw wilayani Babati mkoani Manyara kwa kosa la kumpiga mkewe Maria Sakware [...]
67.2% ya wakazi wa Dar wana uzito uliopitiliza

67.2% ya wakazi wa Dar wana uzito uliopitiliza

Utafiti wa hivi karibuni umeonyesha kwamba asilimia 67.2 ya wakazi wa Dar es Salaam wana uzito kupita kiasi huku wengi wao wakiwa ni wanywaji wa pombe [...]
Magazeti ya leo Julai 26,2022

Magazeti ya leo Julai 26,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Julai 26,2022. [...]
1 131 132 133 134 135 245 1330 / 2444 POSTS
error: Content is protected !!