Author: Cynthia Chacha
Rais Samia: Nawatakia kheri ya Sikukuu ya Eid al- Fitr
RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania wote kuendelee kudumisha haki, umoja ,amani na mshikamano kwenye Sikukuu ya Eid al -Fitr.
Kupitia kuras [...]
Mange Kimambi amepotea njia
Na Isaya Mdego, safarini Marekani.
Jana na usiku wa kuamkia leo Mange Kimambi amechapisha maandiko mawili ya kumtukana Rais Samia Suluhu. Wako wali [...]
17 waokolewa meli iliyozama DRC
SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), limesema watu 17 wameokolewa katika tukio la kuzama Meli ya MV Maman Benita kwenye Ziwa Tanganyika, iliyo [...]
Sh. milioni 150 zatengwa kujenga barabara korofi Iringa
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Zainabu Katimba amesema serikali imeshaanza kujenga barabara korofi ya Ilula Image na Ibumu mkoani Iringa .
Ak [...]
Treni ya mchongoko yawasili
Serikali imepokea seti ya kwanza ya treni ya umeme ya ‘Electric multiple unit’ (EMU) yenye vichwa vitano mchomoko na mabehewa matatu, Waziri wa Uchuku [...]
Magazeti ya leo Machi 29,2024
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Machi 29, 2024.
[...]
Taarifa za kiongozi wa mbio za mwenge zafanyiwa kazi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imefanya uchunguzi wa taarifa ya kiongozi wa mbio za mwenge mwaka 2023, Abdalah Shaibu ambaye ali [...]
Rais Samia asamehe faini za bili za maji
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassani ameelekeza Wizara ya Maji kupitia Mamlaka za Maji kutoa hamasa kwa Wateja wake kwa kusamehe madeni yao na k [...]
Jengo jipya la abiria Uwanja wa Ndege Songwe lakamilika
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekamilisha kwa asilimia 100 ujenzi wa jengo jipya la abiria katika uwanja wa ndege wa Songwe [...]
Neema kwa wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023
Serikali imesema imefungua wigo kwa wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kubadili machaguo ya tahsusi ‘combinations’ ya kidato cha tano, kozi za vyuo [...]