Author: Cynthia Chacha
Alikiba aahidi kumtoboa Harmonize
Alikiba amemtambia Mbwana Samatta kwa kumtaka ampange msanii Harmonize kwenye timu yake ili ampite akafunge kwenye mchezo wa Team Kiba na Team Samatta [...]
Mkuu wa mkoa feki adakwa
Jeshi la polisi mkoani Mbeya linamshikilia Wallen Mwinuka Mkazi wa Makondeko Jijini Mbeya mwenye umri wa miaka 20 kwa tuhuma za kujifanya Mkuu wa Mkoa [...]
Juhudi za Rais Samia kufanikisha mradi wa gesi asilia nchini
Na George Bura, Dar es Salaam
Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubali [...]
Bajeti ya Zanzibar raha
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) jana imewasilisha mapendekezo ya bajeti kwa mwaka 2022/23 ya Sh2.5 trilioni huku ikitarajia kuanza kuwalipa mi [...]
Amuua rafiki yake baada ya kumnyima pombe
Polisi Kaunti ya Kirinyanga nchini Kenya, inamshikilia mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Wycliff Kinyua (26) kwa tuhuma za kumuua rafiki yake A [...]
Meya asema hakuna atakaye ondolewa milimani Mwanza
Baada ya taarifa iliyosambaa jana kuhusu kuhamishwa kwa wakazi wa milimani jijini Mwanza, Meya wa jiji hilo Constantine Sima amesema taarifa hizo sio [...]
Magazeti ye leo Juni 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Juni 15,2022.
[...]
Sababu 6 za Oman kuwekeza Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan jana ametoa sababu sita za wafanyabiashara wa Oman kuwekeza nchini Tanzania, kwa kuw [...]
Waishio milimani kuondolewa, kupisha uwekezaji
Wakazi wa jiji la Mwanza waliojenga maeneo ya milimani wanatarajiwa kuondolewa ili kupisha wawekezaji kutoka nchini Brazil.
Meya wa Jiji la Mwanza, [...]
10 mbaroni kifo cha askari Loliondo
Jeshi la Polisi limewakamata watu 10 kwa tuhuma za kuhusika na vurugu zilizojitokeza wakati wa uwekaji wa mipaka kwenye eneo la pori tengefu la Lolion [...]