Author: Cynthia Chacha
Rais Samia akemea mila potofu
Rais Samia Suluhu Hassan, ameitaka jamii kupiga vita ubakaji pamoja na mila potofu zinazohalalisha ndoa za utotoni,.
Pia amewataka watumishi wa afy [...]
15 wafutiwa matokeo kidato cha 6
Watahiniwa 15 wamefutiwa matokeo yao ya mtihani wa kidato cha sita Mwaka 2022 kutokana na vitendo vya udanganyifu idadi ambayo imepungua kwa takriban [...]
10 bora masomo ya sayansi
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asil [...]
Twaha agonga mwamba
Kesi ya maombi madogo ya jinai inayowakabili Mwanasheria Mkuu wa Serikali, (AG), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Kamanda wa Polisi (RPC) na Mkuu wa Pol [...]
Shule 10 bora hizi hapa
Baraza la Mitihani Tanzania leo tarehe 5/07/2022 limetangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu 2022. Matokeo hayo yanapatikana kwenye t [...]
Matokeo ya kidato cha sita 2022
Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) leo Julai 5,2022 limetoa matokeo ya kidato cha sita 2022.
Kidato cha sita
[...]
Burna Boy ampa Toni Braxton 60% mauzo ya ‘Last Last”
Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Burna Boy, amefunguka kuwa asilimia 60 ya mauzo ya wimbo wake unaofanya vizuri wa ‘Last Last” yatachukuliwa na m [...]
Rais Samia atoa bilioni 2 Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni mbili kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katik [...]
Magazeti ya leo Julai 5,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Julai 5,2022.
[...]
Mambo 3 ya kufanya baada ya kushiriki tendo la ndoa
Unafanya kitu gani pale umalizapo kushiriki tendo la ndoa? Je, unafahamu umuhimu wa kujichunguza pindi tendo hili linapoisha.
ClickHabari tunakusog [...]

