Author: Cynthia Chacha

1 169 170 171 172 173 271 1710 / 2702 POSTS
Kanisa latoa vyeti vya ubikra

Kanisa latoa vyeti vya ubikra

Kanisa moja nchini Afrika Kusini linafanya vipimo vya ubikira kwa waumini wa kike wa kanisa hilo wenye umri wa miaka 18 na kuendelea. Inaripotiwa k [...]
Nafasi za kazi

Nafasi za kazi

Nafasi za kazi mbalimbali. Bonyeza link zifuatazo 221 New FORM FOUR and Above Government Job Vacancies UTUMISHI at UDOM – Various Posts Claims A [...]
Rais wa zamani wa Angola afariki dunia

Rais wa zamani wa Angola afariki dunia

Rais wa zamani wa Angola Jose Eduardo dos Santos, ambaye alitawala nchi ya pili kwa uzalishaji mafuta barani Afrika kwa takriban miongo minne, amefari [...]
Mahakama yakubali ombi la kina Mdee

Mahakama yakubali ombi la kina Mdee

Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee na wenzake 18 wamekibwaga Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya Mahakama Kuu Masijala Kuu kukubali [...]
Tanzania yapongezwa mikakati muziri ya uchanjaji

Tanzania yapongezwa mikakati muziri ya uchanjaji

Mratibu wa Kimataifa wa Mapambano dhidi ya UVIKO-19 kutoka umoja wa Mataifa Dkt Ted Chaiban ameipongeza Tanzania kwa kuendeleza mapambano dhidi ya UVI [...]
Mafuta ya kula yashuka bei

Mafuta ya kula yashuka bei

Waswahili wanasema baada ya dhiki faraja, hivyo ndivyo tunavyoweza kusema baada ya bei ya mafuta kuanza kushuka kwenye baadhi ya maeneo nchini. Bei [...]
Uamuzi wa ombi lao leo

Uamuzi wa ombi lao leo

Mahakama Kuu Masijala Kuu leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa ombi la Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee na wenzake 18 endapo wapewe kibali cha kufungua [...]
Atoa maagizo 7 ya kukuza na kueneza Kiswahili

Atoa maagizo 7 ya kukuza na kueneza Kiswahili

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe, Philip Mpango ametoa maelekezo nane ya kukuza na kukibidhaisha kiswahili duniani. Maelekezo [...]
Magazeti ya leo Julai 8,2022

Magazeti ya leo Julai 8,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 8,2022. [...]
Kiswahili kufundishwa Afrika Kusini

Kiswahili kufundishwa Afrika Kusini

Serikali ya Tanzania na Afrika Kusini zimesaini mkataba wa Mashirikiano ya kufundisha lugha ya Kswahili katika ngazi Elimu ya Msingi nchini Afrika Kus [...]
1 169 170 171 172 173 271 1710 / 2702 POSTS
error: Content is protected !!