Author: Cynthia Chacha
TCRA yataja sababu za kuisha kwa data
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) leo Mei 9,2022 imeeleza sababu zinazopelekea data kuishia kwa haraka kwenye vifurushi vya watumiaji wa mitanda [...]
Kigwangalla: Sijasema maneno hayo
Aliyewahi kuwa Waziri wa Utalii na Maliasili, Hamis Kigwangalla amefunguka na kusema kwamba taarifa iliyotolewa na akaunti moja ya mtandao wa Twitter [...]
Nyota wa Ponografi amuomba Elon Musk
Nyota wa zamani wa ponografi amesema, Elon Musk anahitaji kupiga marufuku maudhui ya picha na video za utupu kwenye mtandao wa Twitter.
Lisa Ann, 4 [...]
CHADEMA yaainisha mafanikio ya ‘Join the chain’
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Benson Kigaila ameeleza mafanikio ya programu yao ya Join the chain na kusema kwamba [...]
Ndugai kuacha siasa
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ametangaza nia yake ya kuacha siasa ikiwamo kutogombea tena nafasi ya ubunge kat [...]
Magazeti ya leo Mei 9,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Mei 9,2022.
[...]
Panya Road wasimulia wanavyoiba
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeendelea kuisimamia operesheni maalum kali na msako wa mtaa kwa mtaa dhidi ya vijana wanaojihusisha n [...]
Hali ya Corona nchini
Wizara ya Afya inaendelea kutoa taarifa kwa umma kuhusu hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini. Itakumbukwa kuwa ugonjwa huu ulitolewa taarifa kwa mara ya [...]
Diamond: Najiuliza kuna baya lolote
Baada ya Zuchu kujibu barua ya TCRA na BASATA kuhusu kufungiwa kwa video ya 'Mtasubiri', Diamond Platnumz naye amefunguka na kueleza kwamba haoni kosa [...]
Zuchu awajibu BASATA
Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram, Msanii kutoka lebo ya Wasafi, Zuchu amewajibu BASATA kuhusu video ya wimbo wake pamoja na Diamond kufungia k [...]