Author: Cynthia Chacha
Zamaradi: Mwijaku anaupiga mwingi
Mkurugenzi na Mmiliki wa Zamaradi TV, Zamaradi Mketema amempa pongezi mtangazaji wa redio ya Clouds, Mwijaku kwa kuwamwambia anafanya kazi nzuri sana [...]
Baba amnajisi mtoto wa miezi 11
Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio la mtoto wa miezi 11 kunajisiwa na baba yake wa kambo anayeishi eneo la Am [...]
Magazeti ya leo Aprili 27,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Aprili 27,2022.
[...]
Shmurda kutoshiriki ngono miezi 6
Rapa maarufu duniani Bobby Shmurda amepata tatizo kwenye uume wake lililopelekea rapa huyu kupewa masharti makali na daktari wake. Bobby ameambiwa asi [...]
Putin atuma ujumbe kwa Rais Samia
Rais wa Russia,Vladimir Putin amemtumia Rais Samia Suluhu, ujumbe wa kumtakia heri ya Sikuu ya Muungano. Putin amesema Tanzania na Russia zina mahusia [...]
Rais Samia aachia huru wafungwa 3826
Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali [...]
TAMISEMI yafafanua maombi ya ajira
Baada ya kuwa na malalamiko juu ya mfumo wa uombaji ajira kada ya elimu na afya, Ofisi ya Rais- TAMISEMI imesema kwa sasa mfumo wa ajira unafanya kazi [...]
Umoja Party wamlilia Rais Samia
Uongozi wa Chama cha Umoja Party umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati kuhakikisha wanapata haki yao ya usajili katika Ofisi za Msajili w [...]
CCM kuimarisha muungano
Ikiwa leo Aprili 26, 2022 siku ya kuadhimisha Muungano katika ya Tanganyika na Zanzibar, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kwamba hakitaacha kuendele [...]
Magazeti ya leo Aprili 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Aprili 26,2022.
[...]