Author: Cynthia Chacha

1 184 185 186 187 188 224 1860 / 2234 POSTS
BASATA yampiga spana Steve

BASATA yampiga spana Steve

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limeingia kati mgogoro kati ya baadhi ya wasanii na Shirikisho la Muziki Tanzania kuhusu uteuzi wa Msemaji wa Wanamu [...]
Diamond: Niliomba nisishiriki

Diamond: Niliomba nisishiriki

Msanii na mmiliki wa lebo wa Wasafi, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amefunguka na kueleza kwanini hayupo kwenye Tuzo za Muziki Tanzania (T [...]
Wezi wamuibia Pogba

Wezi wamuibia Pogba

Wezi wamemuibia kiungo wa Manchester United, Paul Pogba medali yake ya ushindi wa Kombe la Dunia baada ya kuvunja na kuingia nyumbani kwake na kuiba w [...]
Kili Paul ndani ya La Liga

Kili Paul ndani ya La Liga

Kili Paul maarufu kama Mmasai wa Tiktok ni kijana anayefahamika kwenye mitandao ya kijamii kutokana na uwezo wake wakufuatisha maneno kwenye video zak [...]
Fahamu jinsi uke wenye afya unavyonukia

Fahamu jinsi uke wenye afya unavyonukia

Ni lazima uke utoe harufu lakini inabidi uwe makini na aina ya harufu inayotoka kama ni nzuri au mbaya. Ukiona uke wako unatoa harufu kama ya samak [...]
Ghorofa la Samia larejesha wanafunzi shuleni

Ghorofa la Samia larejesha wanafunzi shuleni

Shule ya Sekondari Ihanga jijini Mbeya ni kati za shule zilipewa fedha na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na kujengwa kwa mfumo wa ghorofa kutokana na e [...]
Rais Samia : Mpikie gesi

Rais Samia : Mpikie gesi

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua  nyumba 644 za Magomeni , Dar es Salaam ambazo ujenzi wake umegharimu TZS [...]
Faida za kibiashara kati ya Tanzania na Qatar

Faida za kibiashara kati ya Tanzania na Qatar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al Thani ambapo wamekuba [...]
Neema vituo vya afya Ludewa

Neema vituo vya afya Ludewa

Halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe ni miongoni mwa halmashauri zilizopokea fedha kiasi cha shilingi milioni 250 kwa ajili ya kujenga jengo [...]
Steve : Natoa masaa 48

Steve : Natoa masaa 48

Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT), Steve Nyerere ametoa masaa 48 kwa Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA na wasanii w [...]
1 184 185 186 187 188 224 1860 / 2234 POSTS
error: Content is protected !!