Harmonize kubadili dini

HomeBurudani

Harmonize kubadili dini

Tayari wawili hawa wameshavalishana pete za uchumba na kinachofuata ni ndoa ambayo haijafahamika itafungwa lini.

Frida maarufu kama Kajala ni mkristo huku mpenzi wake Rajabu a.k.a Harmonize ni muislamu.

Leo muda mchache baada ya kuvalishana pete Harmonize alionekana akipiga ishara ya msalaba hali iliyozua sintofahamu kwa mashabiki wakihoji kama ameshabadili dini na kuwa mkristo au bado.

 

 

error: Content is protected !!