Author: Cynthia Chacha
Rais Samia: Maamuzi ya wapiga kura yaheshimiwe
Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza kuheshimiwa kwa maamuzi ya wapiga kura akieleza kwamba demokrasia yenye nguvu hujengwa kwa misingi ya heshima na ms [...]
SADC yasisitiza uchaguzi wa amani Namibia
Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imetoa wito kwa wananchi wa Namibia kukumbatia amani na umoja kabla [...]
Takukuru Mwanza yakemea rushwa kipindi cha uchaguzi
Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza imewaonya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za M [...]
Rais Samiaa aagiza kufungwa eneo maafa yalipotokea Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza eneo la biashara ambalo ghorofa lilianguka Novemba 16, Kariakoo Dar es Salaam, lifungwe na kusiwe na biashara yoyote [...]
Rais Samia aziomba nchi tajiri kuisaidia Afrika kukabili njaa
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa mataifa tajiri kuongeza ufadhili wa masharti nafuu kwa Afrika ili kusaidia kumaliza tatizo la n [...]
Rais Samia: Hongera Stars
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki Mashindano [...]
Rais Samia aongeza muda wa uokoaji Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo Novemba 16, m [...]
Rais Samia: Poleni wananchi Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dar es Salaam, Jeshi la Polisi, Zimamoto na Hospitali ya Muhimbili sambamba na menejime [...]
Rais Samia: Kwaheri King Kikii
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, wasanii pamoja na wapenzi wa muziki kufuatia kifo cha mwanamuziki [...]
Rais Samia kushiriki Mkutano wa G20 Brazil
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Brazil kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama [...]