Author: Cynthia Chacha
Rais Samia: Tunatekeleza Ilani kwa vitendo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu amesema serikali yake ya awamu ya sita inafanya kazi kwa kuzingatia maagaizo yaliyotolewa na [...]
Rais Samia: Tusikubali kugawanywa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Watanzania kuweka mbele maslahi ya taifa na kukataa migawanyiko ya kisia [...]
Orodha ya majina ya viongozi wa Chadema na wananchi waliokamatwa
Jeshi la Polisi limetoa orodha ya majina ya watuhumiwa waliokamatwa kwa kosa la kwenda kinyume na katazo la kufanya maandano.
[...]
Tanzania ya kwanza Afrika ongezeko la watalii
Katika miezi saba ya kwanza ya mwaka 2024, sekta ya utalii wa kimataifa imeshuhudia ongezeko kubwa la idadi ya watalii waliowasili katika nchi kadhaa, [...]
Nafasi 600 za kazi zatangazwa
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi [...]
Rais Samia awataka Watanzania kusimama imara na kuungana
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuungana na kukemea vitendo vya mauaji vinavyotokea nchini ili kukomesha matukio hayo badala [...]
Tanzania kuongeza usafirishaji wa gesi asilia kwa nchi jirani
Tanzania inasonga mbele na mipango ya kupanua usafirishaji wa gesi asilia kwa nchi jirani, zikiwemo Uganda, Kenya, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (D [...]
Jeshi la Polisi lakemea maandamano ya CHADEMA
Jeshi la Polisi limepiga marufuku na kutoa onyo kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kuendelea kuhamasisha wananchi kuji [...]
Rais Samia: Nileteeni taarifa kuhusu Kibao
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amegiza Vyombo vya Uchunguzi kumpatia taarifa ya kina haraka kuhusu tukio baya la mauaji ya Kiongozi wa CHAD [...]
Rais Samia: Tushirikiane kwenye uvumbuzi wenye manufaa
Rais Samia Suluhu Hassan amewasihi wakuu wa nchi na serikali mbalimbali kujikita zaidi kwenye uvumbuzi wenye manufaa ya kijamii na kiuchumi ili maende [...]