Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Januari 3,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Januari 3,2023.
[...]
Anjella aiaga Konde Gang
Aliyekuwa msanii chini ya lebo ya muziki ya Konde Music Worldwide inayomilikiwa na Harmonize, Anjella ameiaga lebo hiyo na kutoa shukurani kupitia uku [...]
Asimilia 99 ya lengo yakusanywa na TRA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 12.46 kati ya Julai hadi Desemba 2022, sawa na 99% ya lengo la kukusanya TZS trilioni 12.48. [...]
Mrithi wa TICTS apatikana
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepata mtoa huduma w amuda, Kampuni ya Adani Zone Limited (APSEZ) ya nchini India atakayefanya kazi ya kuondoa maka [...]
Fahamu jinsi ya kuepuka maumivu ya Januari 2023
‘Njaanuari’ ndivyo ambavyo baadhi ya watu huuita Januari ambao kwa mujibu wa kalenda ndiyo mwezi wa kwanza wa mwaka.
Jina hilo linaashiria machungu y [...]
Salamu za mwaka mpya za Rais Samia Suluhu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amehutubia Taifa nakutoa salam za kuaga Mwaka 2022 na kuukaribisha Mwaka mpya wa 2023 [...]
Majizzo apinga mtazamo wa Hando kuhusu mikopo ya serikali
Mkurugenzi wa EFM na TVE, Francis Ciza "Majizzo" amepinga mtazamo wa mtangazaji wa EFM redio, Gerald Hando kuhusu namna ambavyo serikali imekua ikichu [...]
Fahamu vijiwe 10 vya kitimoto Dar
‘Kitimoto’ sio jina lake mahususi lakini ndio jina maarufu zaidi nchini Tanzania na ukitaka kuipata kwa haraka mahali popote basi ulizia kwa jina hilo [...]
Magazeti ya leo Desemba 30,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Desemba 30,2022.
[...]
Fahamu fukwe 5 zisizo na kiingilio Dar es Salaam
Najua utajuliza kuhusu gharama na mwingiliano wa watu ambao wakati mwingine unaweza kusababisha kukosekana kwa utulivu, usihofu zipo fukwe nyingi jiji [...]