Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Januari 26,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Januari 26,2023.
[...]
Lissu: Mwenyekiti yuko wapi
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara) Tundu Lissu ametua nchini, akitokea Ubelgiji alikokimbilia baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 huk [...]
Zumaridi ahukumiwa mwaka mmoja jela
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza imemhukumu Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kumkuta na hatia kati [...]
Orodha ya wakuu wa wilaya wanaoendelea na kazi
Orodha ya wakuu wa wilaya wanaoendelea na kazi.
[...]
Wakuu wapya wa wilaya 37
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37.
[...]
Hatua zilizochukuliwa dhidi ya wauguzi wa Ishihimilwa
Baada ya uchunguzi kufanywa kuhusu tukio la video fupi iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari ikiwahusisha watumishi wawili, Bi. [...]
Magazeti ya leo Januari 25,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Januari 25,2023.
[...]
Rais Samia afanya utenguzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa nafasi za Viongozi wafuatao:-
1. Bw. Reuben Ndiza Mfune, Mku [...]
Wito wa Rais Samia kuhusu uwekezaji wavutia kampuni 400 kutoka Ulaya
Akiwa kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa (Dubai Expo), Rais Samia Suluhu Hassan aliwaalika wawekezaji na wafanyabiashara waliohudhuria mkutano h [...]