Author: Cynthia Chacha
Matokeo kidato cha pili mwaka 2022 haya hapa
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) jana Januari 2023 limetangaza matokeo ya mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwa [...]
Latra yatangaza nauli mpya za mwendokasi
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli mpya za teksi mtandaoni, pikipiki mtandao na Mabasi yaendayo Haraka (BRT) maarufu mwen [...]
Magazeti ya leo Januari 4,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Januari 4,2023.
[...]
Rais Samia atengua zuio la mikutano ya hadhara
Rais Samia Suluhu Hassan ameruhusu kufanyika kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iliyozuiliwa kwa muda huku akiwataka wanasiasa kufanya siasa z [...]
Rais Samia: Hakuna atakayekosa shule
Wakati shule za msingi na sekdnoari nchini zikitarajiwa kufunguliwa Jamatatu ijayo, Rais Samia Suluhu amesema hakuna mwanafunzi atakayekosa nafasi ya [...]
Magazeti ya leo Januari 3,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Januari 3,2023.
[...]
Anjella aiaga Konde Gang
Aliyekuwa msanii chini ya lebo ya muziki ya Konde Music Worldwide inayomilikiwa na Harmonize, Anjella ameiaga lebo hiyo na kutoa shukurani kupitia uku [...]
Asimilia 99 ya lengo yakusanywa na TRA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 12.46 kati ya Julai hadi Desemba 2022, sawa na 99% ya lengo la kukusanya TZS trilioni 12.48. [...]
Mrithi wa TICTS apatikana
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepata mtoa huduma w amuda, Kampuni ya Adani Zone Limited (APSEZ) ya nchini India atakayefanya kazi ya kuondoa maka [...]
Fahamu jinsi ya kuepuka maumivu ya Januari 2023
‘Njaanuari’ ndivyo ambavyo baadhi ya watu huuita Januari ambao kwa mujibu wa kalenda ndiyo mwezi wa kwanza wa mwaka.
Jina hilo linaashiria machungu y [...]