Author: Cynthia Chacha

1 75 76 77 78 79 237 770 / 2365 POSTS
Wanaotupa taka wazomewe

Wanaotupa taka wazomewe

Mhe. Amos Makalla amesema licha ya uwepo wa sheria na kanuni za kuwadhibiti wachafuzi wa Mazingira hususani wanaotupa taka hovyo ni vyema pia ikae [...]
Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro

Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua helikopta katika Hifad [...]
Magazeti ya leo Novemba 14,2022

Magazeti ya leo Novemba 14,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Novemba 14,2022. [...]
Watahiniwa 566,840 kidato cha nne kuanza mtihani kesho

Watahiniwa 566,840 kidato cha nne kuanza mtihani kesho

Jumla ya watahiniwa 566,840 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne utakaoanza kesho Novemba 14, 2022 Tanzania Bara na Zanzibar. Kaimu Mtend [...]
Lady Jaydee kusimama na Rais Samia

Lady Jaydee kusimama na Rais Samia

Rais Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa kuleta suluhu nchini Tanzania kwa kuwaunganisha Watanzania bila kujali itikadi zao, dini au jinsia katika ku [...]
Matunda ziara ya Rais Samia nchini China na Misri

Matunda ziara ya Rais Samia nchini China na Misri

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, amezungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Rais Samia nchini China na Misri. Zuhura [...]
Magazeti ya leo Novemba 12,2022

Magazeti ya leo Novemba 12,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Novemba 12,2022. [...]
Kivuko kipya Kigamboni

Kivuko kipya Kigamboni

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangasa ameeleza kufurahishwa na hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekeza kununuliwa kwa kivuko kipya kwa ajili [...]
Royal Tour yajibu, watalii zaidi ya 1,000 waja na meli

Royal Tour yajibu, watalii zaidi ya 1,000 waja na meli

Ikiwa imepita miaka miwili tangu janga la Uviko-19 litikise dunia na shughuli za utalii kuanza kurejea, jana Tanzania ilipokea meli kubwa ya watalii z [...]
CHADEMA yasusia vikao vya marekebisho ya sheria

CHADEMA yasusia vikao vya marekebisho ya sheria

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitashiriki katika vikao vya marekebisho ya sheria vinavyoanza leo na kudai kinachopaswa kuanza [...]
1 75 76 77 78 79 237 770 / 2365 POSTS
error: Content is protected !!