Author: Cynthia Chacha

1 77 78 79 80 81 237 790 / 2365 POSTS
Magazeti ya leo Novemba 8,2022

Magazeti ya leo Novemba 8,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Novemba 8,2022. [...]
Wavuvi Ziwa Victoria kupewa mafunzo wa uokoaji

Wavuvi Ziwa Victoria kupewa mafunzo wa uokoaji

Kufuatia ombi la Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila la kuwapa mafunzo wavuvi wanaofanya shughuli zao kando ya Ziwa Victoria, Waziri Mkuu, Kassim [...]
Kijana aliyeokoa watu kwenye ndege ya Precision Air apewa milioni 1

Kijana aliyeokoa watu kwenye ndege ya Precision Air apewa milioni 1

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amemkabidhi kijana mmoja mvuvi aliyejitosa kwenye maji akijaribu kuwaokoa wahanga wa ajali ya ndege ya Precis [...]
Waokota 3,000 taka kusajiliwa

Waokota 3,000 taka kusajiliwa

Wakati waokota taka 3,000 katika mikoa 12 ya Tanzania Bara wakitarajiwa kusajiliwa katika programu ya kidigitali ya Zaidi, unyanyapaa umetajwa kuwa ch [...]
Utendaji kazi wa Rais Samia wamvutia mgombea wa CHADEMA, ahamia CCM

Utendaji kazi wa Rais Samia wamvutia mgombea wa CHADEMA, ahamia CCM

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Masasi Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka 2020, Mustapha Swalehe amejiunga na Chama cha Mapin [...]
Magazeti ya leo Novemba 7,2022

Magazeti ya leo Novemba 7,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Novemba 7,2022. [...]
Orodha ya majina waliokuwepo kwenye ndege ya Precision Air

Orodha ya majina waliokuwepo kwenye ndege ya Precision Air

WALIOPELEKWA HOSPITALI 1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904) 28yrs DSM 2. RAUSATH HASSAN - 26yrs BUKOBA 3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE 4. DR FE [...]
Awamu ya 6 yakamilisha Zahanati iliyoanza kujengwa 2000

Awamu ya 6 yakamilisha Zahanati iliyoanza kujengwa 2000

Wananchi wa Kijiji cha Nambogo Manispaa ya Sumbawanga, wameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kusaidia kukamilisha ujenzi wa zahanati yao iliyoanz [...]
Precision Air yazama ziwani

Precision Air yazama ziwani

Ndege ya Shirika la Ndege la Precision Air, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6,2022. Taarifa kutoka katika mtand [...]
SGR yazidi uwezo wa Bandari ya Dar

SGR yazidi uwezo wa Bandari ya Dar

Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma kwa mwaka wa fedha 2020/2021 imetoa maazimio yake juu ya uwezo wa reli ya kisasa y [...]
1 77 78 79 80 81 237 790 / 2365 POSTS
error: Content is protected !!