Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Januari 20,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Januari 20,2023.
[...]
Mfumuko wa bei za vyakula kushuka Machi 2023
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk Albina Chuwa amesema kasi ya mfumuko wa bei za vyakula na vinywaji baridi inatarajia kupungua hadi asilimia 8.4 Machi mw [...]
Mnada wa chai kuanza, serikali yaondoa tozo
Mnada wa zao la chai nchini unaotarajiwa kuanza kufanywa jijini Dar es Salaam mwaka huu, huku serikali ikitangaza neema kwa wakulima kwamba hautakuwa [...]
Magazeti ya leo Januari 19,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Januari 19,2023.
[...]
Wahadzabe, Wadatoga wapinga tozo
Jamii ya Wahadzabe na Wadatoga wanaoishi wilayani Karatu katika Mkoa wa Arusha, wametishia kuyahama makazi yao kwa kuwa halmashauri ya wilaya hiyo ime [...]
Bashe aagiza kukamatwa waliotupa parachichi
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza kukamatwa kwa mmiliki wa Kampuni ya Candia Fresh pamoja na kuifunga kampuni hiyo, kwa kile alichoeleza kuwa i [...]
Magazeti ya leo Januari 18, 2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Januari 18,2023.
[...]
Kirusi kipya cha Uviko-19
Ingawa si jambo linalozungumzwa sana kwa sasa, lakini wasiwasi unaendelea kuongezeka kwa wanayansi ambao wanajaribu kutafuta ufumbuzi wa kukabiliana [...]
Magazeti ya leo Januari 17,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Januari 17,2023.
[...]
Mita 111 za maji zajazwa Bwawa la Nyerere
Serikali imesema hadi jana asubuhi, mita za maji 111 juu ya usawa wa bahari zilikuwa zimejazwa katika mradi wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme kwa m [...]