Author: Cynthia Chacha

1 81 82 83 84 85 268 830 / 2676 POSTS
Magazeti ya leo Februari 16,2023

Magazeti ya leo Februari 16,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Februari 16,2023. [...]
Fahamu vitabu vilivyopigwa marufuku kutumika shuleni

Fahamu vitabu vilivyopigwa marufuku kutumika shuleni

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada kutumika katika shule za umma na binafsi [...]
Rais Samia ahimiza utekelezaji wa miradi ya umeme

Rais Samia ahimiza utekelezaji wa miradi ya umeme

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi za Serikali au binafsi pamoja na mashirika kuacha urasimu katika utekelezaji wa miradi ya umeme [...]
Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania kuwa kinara kwenye uchumi

Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania kuwa kinara kwenye uchumi

Huenda unafuu wa maisha pamoja na upatikanaji wa huduma mbalimbali za kijamii ukaimarika nchini mara baada ya Benki ya Dunia kuripoti kuwa uchumi wa T [...]
Rais Samia kununua magoli ya Simba SC na Yanga SC

Rais Samia kununua magoli ya Simba SC na Yanga SC

Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Sh milioni 5 kwa kila goli litakalofungwa na wachezaji wa timu za Simba na Yanga wakati wa michuano inayoendel [...]
Magazeti ya leo Februari 14,2023

Magazeti ya leo Februari 14,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Februari 14,2023. [...]
Sheria utoaji wa viungo vya ndani ya mwili mbioni kutungwa

Sheria utoaji wa viungo vya ndani ya mwili mbioni kutungwa

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali iko mbioni kuja na sheria itakayoruhusu wananchi kuchangia viungo vya ndani ya mwili ikiwemo figo. Wa [...]
Mpangaji amuua mwenye nyumba kisa kodi

Mpangaji amuua mwenye nyumba kisa kodi

Mkulima wa Kijiji na Kata ya Likongowele, Wilaya ya Liwale mkoani Lindi, Siamini Mtopoka (40), anadaiwa kuuawa na mpangaji wake Shabani Matola kwa kuk [...]
Fahamu kuhusu meli ya Mv. Mwanza

Fahamu kuhusu meli ya Mv. Mwanza

Hatimaye Serikali imefanikiwa kuishusha majini meli mpya itakayokuwa ni kubwa kuliko zote ndani ya Victoria ya Mv.Mwanza “Hapa kazi tu” baada ya ujenz [...]
Magazeti ya leo Februari 13,2023

Magazeti ya leo Februari 13,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Februari 13,2023. [...]
1 81 82 83 84 85 268 830 / 2676 POSTS
error: Content is protected !!