Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Februari 7,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Februari 7,2023.
[...]
Lita 910 zingine za dizeli SGR zakamatwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amesema wamefanikiwa kukamata lita 910 za mafuta aina ya dizeli yanayotumika katika mradi wa Reli [...]
Magazeti ya leo Februari 6,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Februari 6,2023.
[...]
Serikali kugharamia msiba wa watu 17 Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo kuwa Serikali isimamie msiba wa Watu 17 waliofariki kwa ajali Tanga [...]
Rais Samia aomboleza ajali iliyoua watu 17 mkoani Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kusikitishwa na ajali iliyoua watu 17 mkoani Tanga.
Nimesikit [...]
Vijana 147 waliojiunga JKT wabainika kuwa na VVU
Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI imesema katika kipindi cha miaka mitatu kilichoanzia 2018, vijana wanaojiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taif [...]
Gridi nzima ya umeme ya taifa kufumuliwa
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema serikali inatajaria kuanza mradi mkubwa wa kufumua gridi nzima ya umeme ya taifa na kuirekebisha.
Lengo [...]
Magazeti ya leo Februari 4,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Februari 4,2023.
[...]
Rais afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
(1) Amemteua Bi Janet Zebedayo Mbene kuwa Mwenyeki [...]
Lissu: Serikali ibane matumizi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo , (Chadema) amesema sababu ya kupanda kwa gharama za maisha nchi ni kodi ambazo serikali imeziw [...]

