Author: Cynthia Chacha
Rais Samia kuifanya Kigoma kuwa kituo cha utalii wa tiba
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Mkoa wa Kigoma utakuwa kituo cha utalii wa tiba na ametoa shiingi bilioni tano za kuanza ujenzi wa hospitali ya kanda [...]
Magazeti ya leo Oktoba 19,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Oktoba 19,2022.
[...]
Zitto Kabwe ampongeza Rais Samia kwa kufanya kazi nzuri
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amempa pongezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi nzuri anayoifanya kwa kuwaungan [...]
Rais Samia anavyoifungua Kigoma kwa kuboresha Bandari ya Kibirizi
Dhamira ya kuurudisha Mkoa wa Kigoma kuwa kitovu cha biashara inaendelea kufanikishwa na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuweka jiwe la Msingi la Up [...]
TANESCO Pwani yavuka lengo
Shirika la Umeme (TANESCO) Mkoa wa Pwani limeunganishwa wateja 43,000 na kuvuka lengo la kuunganishia wateja 20,000 kipindi cha mwaka 2022.
Akizung [...]
Rais Samia aiwasha Kigoma
Rais Samia Suluhu Hassani jana Oktoba 17,2022 amezima umeme uliokuwa unatumia jenereta na kuwasha umeme wa gridi ya Taifa na kuwataka wananchi kutunz [...]
Magazeti ya leo Oktoba 18,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Oktoba 18,2022.
[...]
Ally Kamwe afiwa na mwanawe
Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe ametoa taarifa ya kufiwa na mtoto wake Latiffah wakati yeye akiwa nchini Sudan ambapo timu yake ikicheza mchezo w [...]
Ajinyonga kisa kunyimwa mshahara
Ofisa Muuguzi (II) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila, Dar es Salaam, Sarwat Soluwo amedaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kilichodaiwa mateso ali [...]
Rais Samia : Punguzeni kidogo spidi
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi Runzewe Wilaya ya Bukombe mkoani Geita kupunguza kasi ya kuzaa ili huduma za kijamii na fursa za maendeleo [...]