Author: Cynthia Chacha
Ziara ya Rais Samia Kigoma
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Kigoma, kuanzia tarehe 16 hadi 19 mwezi huu.
Akitoa taarifa kwa vyo [...]
Padri amnajisi mtoto wakati akiungama
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imeelezwa namna Paroko wa Parokia Teule ya Mtakatifu Dionis Aropagita ya Jimbo Katoliki la Moshi, Padri Sosthenes Baha [...]
Sonona inavyoathiri wanawake kiakili
Watu milioni nchini wanaishi na ugonjwa wa sonona huku wengi wao wakiwa wanawake.
Kauli hiyo imetolewa jana Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Ummy M [...]
Magazeti ya leo Oktoba 11,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Oktoba 11,2022.
[...]
Rais Samia afanya uteuzi wa Wakili Mkuu wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakili wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali kama ifuatavy [...]
Tanzania na Kenya zapanga kuondoa vikwazo 14 vya biashara
Huenda uchumi wa Tanzania na Kenya ukakua zaidi kwa siku za usoni mara baada ya viongozi wakuu wa mataifa hayo kuwaagiza mawaziri wa biashara na uweke [...]
Konde Gang yawatema Killy na Cheed
Taarifa kutoka uongozi wa lebo ya muziki nchini ya Konde Gang imesema kwamba , hivi sasa wasanii Ally Omary (Killy) na Rashid Daudi (Cheed) hawapo kwe [...]
Fahamu chanzo cha kufeli kwa wanafunzi wa Shule ya Sheria
Anguko kwenye mtihani wa uwakili katika Shule Kuu ya Sheria Tanzania (LST) limefikia hatua mbaya na kuwaibua wanasheria na wadau wakitaka utafiti ufan [...]
Juhudi za Rais Samia zimepandisha uwezo wa Tanzania kukopesheka
Kutokana na hatua zilizochukuliwa na Rais Samia Suluhu, viwango vya Tanzania vimepanda kwenye tathmini ya kukopesheka na kuvutia uwekezaji kutoka nje [...]
Ushirikiano: Siri ya mafanikio Kenya na Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameeleza mambo aliyozungumza na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. William Ruto ambaye y [...]