Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Oktoba 10,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Oktoba 10,2022.
[...]
Shaka aeleza siku 558 za Rais Samia Suluhu
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe [...]
Rais Ruto kuwasili Tanzania leo
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto anatarajiwa kuwasili nchini leo jioni kwa ziara ya kikazi ya siku mbili (tarehe 09-10,Oktoba 2 [...]
Faida za bima ya afya kwa wote
Serikali imewaomba wananchi kuunga mkono suala la bima ya afya kwa wote na kupuuza vitisho juu ya suala hilo kwa kuwa ni mkombozi kwa Watanzania.
K [...]
Watumiaji wa usafiri wa anga waongezeka
Idadi ya abiria wanaotumia usafiri wa anga nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 38 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja, baada ya kuimarishwa kwa mapa [...]
Magazeti ya leo Oktoba 8,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 8,2022.
[...]
Waliokutwa na hatia ya kumiliki na kutumia bangi wasamehewa
Rais wa Marekani, Joe Biden amewasamehe watu wote waliokutwa na hatia ya kumiliki bangi.
Biden alitoa wito kwa majimbo ya Marekani kutekeleza hatua [...]
340,000 kiwango cha kujiunga Bima ya Afya
Kiwango cha kujiunga na Bima ya Afya kwa wote ni Shilingi 340,000 kwa kaya ya watu Sita akiwemo mchangiaji, mwenza wake na wategemezi wasiozidi wanne [...]
Kituo cha magonjwa ya mlipuko kujengwa Kagera
Serikali inatarajia kujenga kituo maalumu cha matibabu ya magonjwa ya milipuko Mkoani Kagera.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwal [...]
Magazeti ya leo Oktoba 7,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Oktoba 7,2022.
[...]