Author: Cynthia Chacha
Matunda ziara ya Rais Samia nchini China na Misri
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, amezungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Rais Samia nchini China na Misri.
Zuhura [...]
Magazeti ya leo Novemba 12,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Novemba 12,2022.
[...]
Kivuko kipya Kigamboni
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangasa ameeleza kufurahishwa na hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekeza kununuliwa kwa kivuko kipya kwa ajili [...]
Royal Tour yajibu, watalii zaidi ya 1,000 waja na meli
Ikiwa imepita miaka miwili tangu janga la Uviko-19 litikise dunia na shughuli za utalii kuanza kurejea, jana Tanzania ilipokea meli kubwa ya watalii z [...]
CHADEMA yasusia vikao vya marekebisho ya sheria
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitashiriki katika vikao vya marekebisho ya sheria vinavyoanza leo na kudai kinachopaswa kuanza [...]
Magazeti ya leo Novemba 11,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Novemba 11,2022.
[...]
Rais Samia awapongeza Yanga SC
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufanikiwa kuingia kwenye hatua ya makundi ya mashindano ya kombe la shirikisho barani [...]
Sababu za Air Tanzania kupunguza miruko
Taarifa iliyotolewa na Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania (ATCL) imesema "Kutokana na changamoto za kiufundi kote duniani za injini aina ya PW1524G-3 zi [...]
Nafasi ya kazi Hospitali ya Mount Meru
Tangazo la nafasi ya kazi ya Mkataba- Daktari Bingwa (Radiolojia)- Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha - Mount Meru.
[...]
Magazeti ya leo Novemba 10,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Novemba 10,2022.
[...]