Author: Cynthia Chacha

1 90 91 92 93 94 237 920 / 2365 POSTS
Babu Tale kuwalipia tiketi wasanii 7 waliochaguliwa kuwania tuzo za AFRIMMA

Babu Tale kuwalipia tiketi wasanii 7 waliochaguliwa kuwania tuzo za AFRIMMA

Mbunge wa Morogoro Mashariki na Meneja wa Wasanii wa muziki chini ya lebo ya WCB, Hamisi Taletale ameainisha dhamira yake ya kupambania tiketi za kuwa [...]
TCU yaongeza muda wa udahili vyuoni

TCU yaongeza muda wa udahili vyuoni

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefungua dirisha awamu ya nne na ya mwisho ya udahili wa wanafunzi wa elimu ya juu litakalokuwa wazi kwa muda wa si [...]
Magazeti ya leo Oktoba 4,2022

Magazeti ya leo Oktoba 4,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Oktoba 4,2022. [...]
Kampuni 34 kutoka Misri zafuata fursa Tanzania

Kampuni 34 kutoka Misri zafuata fursa Tanzania

Jumla ya kampuni  34 kutoka Misri zimeshiriki Mkutano wa Kibiashara jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutafuta fursa za uwekezaji na biashara zilizopo [...]
Mradi wa gesi LPG kuanza mwaka huu

Mradi wa gesi LPG kuanza mwaka huu

Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mradi wa kuchakata gesi asilia mita za ujazo bilioni 4.6 na bidhaa nyingine ya gesi ya kupikia (LPG), unata [...]
Rais Samia atoa bilioni 2.7 kwa ajili ya tiba asili

Rais Samia atoa bilioni 2.7 kwa ajili ya tiba asili

Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sh. Bilioni 2.7 ili zitumike kufanya utafiti katika sekta ya tiba asili nchini. Taarifa ya kutolewa kwa fedha hizo [...]
Magazeti ya leo Oktoba 3,2022

Magazeti ya leo Oktoba 3,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Oktoba 3,2022. [...]
Angellah Kairuki ateuliwa kuwa Waziri wa TAMISEMI

Angellah Kairuki ateuliwa kuwa Waziri wa TAMISEMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Amemteua Angellah Jasmine Kairu [...]
Dkt. Tax ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Dkt. Tax ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena L [...]
Bashungwa ateuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Bashungwa ateuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Amemteua Mhe. Innocent Lugha Ba [...]
1 90 91 92 93 94 237 920 / 2365 POSTS
error: Content is protected !!