Author: Cynthia Chacha
Mwamuzi pambano la Mandonga asimamishwa
Mwamuzi Habibu Mohammed aliyechezesha pambano la Karim Mandonga na Salim Abeid amesimamishwa na Chama cha Waamuzi wa Ngumi nchini kwasababu ya kucheze [...]
Utaratibu wa kuomba Samia Scholarship
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa maelekezo ya namna kuomba ufadhili wa Samia Scholarship kwa wale waliokidhi vigezo.
[...]
Orodha ya waliokidhi ufadhili wa Samia Scholarship
Hii hapa orodha ya majina ya wanafunzi waliokidhi kupata ufadhili wa Samia Scholarship.
[...]
Waziri Ummy: Bima ya Afya ni hiari siyo lazima
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ikipita itahakikisha wananchi wanapata huduma bila kikwazo lakini hakuna mtu ataka [...]
Kicheko kwa wakulima , soko la tumbaku lafunguka
Huenda wakulima watakuwa na uhakika wa soko la tumbaku baada ya wanunuzi kuongeza kiasi watakachonunua mwaka ujao wa kilimo.
Kampuni ya Japan Tobacco [...]
Magazeti ya leo Septemba 27,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Septemba 27,2022.
[...]
Japan kutimiza ahadi ya miradi minane Tanzania
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida na kuwasilisha salamu za pole kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutokan [...]
Aliyesambaza taarifa za uongo kifo cha Mwakyembe adakwa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, linawashikilia watuhumiwa wawili kwa makosa ya kimtandao kufuatia msako unaoendelea.
Taarifa iliyoto [...]
Pweza kufuatiliwa kieletroniki Kilwa
Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa inaanzisha mfumo maalumu wa kufuatilia biashara ya pweza kielektroniki kuanzia wanapovuliwa, kusafirishwa hadi wanapouz [...]
Magazeti ya leo Septemba 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Septemba 26,2022.
[...]