Author: Elibariki Kyaro
Baada ya miaka 10, chanjo ya kwanza ya Malaria yathibitishwa
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vilemea aina nne: P falciparum, P Malarie, P. Ovale na P. vivax. Vimelea hivyo hubebwa na kusambazwa na mbu jike [...]
Wafahamu viongozi 7 waliowahi kuwa wakaguzi wakuu na wadhibiti wa hesabu za Serikali Tanzania tangu 1961
Kabla ya uhuru wa Tanganyika ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ilifahamika kama Idara ya Ukaguzi ndani ya Tanganyika na Kiongozi [...]
Rais akoshwa majengo ya mahakama kutenga maeneo kwa wanaonyonyesha
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kufurahishwa na majengo ya mahakama yaliyojengwa katika mikoa mitano nchini kutenga maeneo kwa makundi maalum ikiwem [...]
Uonapo dalili hizi, jua anataka kujiua
Kila baada ya sekunde 40 mtu mmoja mahali fulani hukatisha uhai wake duniani hasa watu wanaokabiliwa na unyanyapaa, kama vile wakimbizi na wahamiaji, [...]
Mbinu 5 za kumaliza tatizo la uvivu kazini
Kama uvivu utapewa nafasi kubwa katika shughuli za kikazi na biashara, hujenga tabia ambayo ikiota mizizi inaathiri kabisa maisha ya mtu. Huenda nawe [...]
27 wakamatwa kwa kuiba saruji baada ya lori kupata ajali Mbagala
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata watu 27 wanaotuhumiwa kuiba mifuko ya saruji baada ya malori mawili kupata ajali eneo la Mbag [...]
Utafiti: Namna Vitamin A inavyoweza kutibu tatizo la UVIKO-19
Chuo Kikuu cha East Anglia kinafanya majaribio ya wiki 12 ambapo tayari kuna watu maalum wamejitolea kwa ajili ya kufanya majaribio kwenye utafiti huo [...]
Wafahamu wasanii ambao Diamond anashindana nao AFRIMA 2021
Orodha rasmi ya wasanii watakaoshiriki kwenye tuzo za All Africa Music Awards (AFRIMA) 2021 imewekwa wazi na kuonesha wasanii wote watakaochuana kweny [...]
Youtube yafunga akaunti zote za R. Kelly
Akanti za Youtube za msanii gwiji wa muziki wa miondoko ya RnB, R. Kelly zimefungwa mapema wiki hii, ikiwa ni tukio la kwanza kubwa kumfika tangu alip [...]
Zifahamu kazi ambazo haziathiriwi na teknolojia
Teknolojia inapokuja inakuwa na faida zake na hasara zake, ukuaji wa teknolojia haswa katika mataifa yalioendelea umepelekea kuwepo na roboti zenye uw [...]