Author: Elibariki Kyaro

1 2 3 4 5 6 18 40 / 171 POSTS
Rais Samia: Sina kabila katika utendaji

Rais Samia: Sina kabila katika utendaji

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wapya aliowaapisha leo kuacha ukabila katika utendaji wao wa kazi na kusisitiz [...]
Zifahamu kompyuta 5 nzuri kutumiwa na mwanachuo

Zifahamu kompyuta 5 nzuri kutumiwa na mwanachuo

Mbali na kalamu, daftari na kikokotoo, zana nyingine muhimu chuoni ni kompyuta binafsi (laptop) ambayo itakusaidia katika kukamilisha majukumu yako ya [...]
Marufuku kuvua kondomu wakati wa kujamiiana

Marufuku kuvua kondomu wakati wa kujamiiana

Baada ya miaka 4, Jimbo la California nchini Marekani limepitisha sheria mbili ambazo zinalenga kudhibiti makosa ya kingono ambapo sheria ya kwanza im [...]
Rais akimbia na mabegi ya fedha

Rais akimbia na mabegi ya fedha

Piraz Ata Sharifi  aliekuwa mlinzi wa Rais wa Afghanistan amesema baada ya serikali ya nchi hiyo kupinduliwa, aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Ashraf Ghan [...]
Serikali yasitisha mfumo mpya wa ukusanyaji ada za maegesho

Serikali yasitisha mfumo mpya wa ukusanyaji ada za maegesho

Kutokana na malalamiko ya wananchi kuhusu changamoto zinazojitokeza wakati wa ukusanyaji wa ada za maegesho ya magari kwa kutumia mfumo wa kielektroni [...]
Mitandao ya kijamii chanzo ya magojwa ya akili, kichaa

Mitandao ya kijamii chanzo ya magojwa ya akili, kichaa

Tatizo la afya ya akili nchini limeongezeka kwa 40% huku wataalam wa afya wakiainisha kuwa takwimu kwa sasa zinaonesha kwenye kila watu wanne, mtu mmo [...]
Video ya utupu ya Tiwa Savage yavuja, mwenyewe afunguka

Video ya utupu ya Tiwa Savage yavuja, mwenyewe afunguka

Akiwa kwenye kipindi cha The Angie Martinez Show mwanamuziki nyota kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage ameweka wazi kuhusu video ya ngono inayomuonesha [...]
Uingereza yaondoa vikwazo kwa wasafiri kutoka Tanzania

Uingereza yaondoa vikwazo kwa wasafiri kutoka Tanzania

Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake Tanzania imetangaza kupunguzwa kwa vikwazo vilivyokuwa vimewekwa kwa wasafiri wote kutoka nchini Tanzania.T [...]
Uchambuzi mfupi wa album mpya ya Alikiba (Only One King)

Uchambuzi mfupi wa album mpya ya Alikiba (Only One King)

Mfalme wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba ameachia rasmi albamu yake ya 3 iliyokuwa inasubiriwa kwa muda mrefu yenye nyimbo takribani 16 aliyoipa jina la [...]
Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete

Katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Rais wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo Oktoba 7, 2021, kila mtu ameonesha hisia zake katika kush [...]
1 2 3 4 5 6 18 40 / 171 POSTS
error: Content is protected !!