Author: Mjumbe
Leo katika historia: Shirika la posta duniani lilianzishwa
Leo, tarehe 9 Oktoba ni Siku ya Kimataifa ya Shirika la Posta duniani. Posta ndio chombo cha kale zaidi na kikubwa cha mawasiliano baina ya watu wa nc [...]
Kilichomponza Dkt. Philemon Sengati, mkuu wa Mkoa wa Shinyanga aliyetumbuliwa
Dkt. Philemon Sengati aliteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga na Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 15 Mei 2021. Kabla ya hapo amewahi kuwa Mkuu wa mko [...]
Whatsapp kuja kivingine
Mtandao wa Whatsapp umesema upo kwenye majaribio ya kuweka mfumo mpya wa kusikiliza ujumbe wa sauti (voice note) ambao utamuwezesha mtumiaji kusikiliz [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 09 (Kane na Mbappe Newcastle, huku Van de Beek akielekea Barcelona)
Mshambuliaji wa zamani wa Newcastle Demba Ba 36, amejitolea kuichezea klabu hiyo mpaka pale atakapostaafu baada ya klabu hiyo kuuzwa (Star).
Meneja [...]
Njia 7 rahisi za kukuza akaunti yako ya Twitter kutoka ‘follower’ 0-1000 ndani ya mwezi mmoja
Sote tu mashahidi kuwa Twitter ni moja kati ya mtandao wa kijamii ambao ni ngumu sana kupata wafuasi ukilinganisha na mitandao mingine. Mkufunzi na mt [...]
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 09, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumamosi, Oktoba 09, 2021
[...]
Zijue njia 7 za kuzuia kunyonyoka nywele kwa wanaume
Tatizo la kunyonyoka nywele ni tatizo linalowakumba wanaume wengi duniani. Takwimu zinaonesha kwamba tatizo hili huathiri theluthi moja ya watu dunian [...]
Tafakuri: Kwanini ndege zimepokelewa Zanzibar?
Kufufua Shirika la Ndege Tanzania ilikuwa ni moja ya ndoto ya Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Wakati wa uhai wake, Tanzania ili [...]
Rais Samia ateua na kutengua
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo tarehe 8 Oktoba amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kadhaa kama ifuatavyo.
Rais [...]
Serikali kuongeza ndege nyingine 5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi ameeleza kuwa Serikali ipo katika mipango ya kununua ndege nyingine 5 ili ku [...]