Author: Mjumbe
Mjue Mtanzania aliyehusika kufichua Skendo ya Pandora
Pandora ni skendo inayohusisha watu mashuhuri duniani na mtandao mkubwa wa shughuli haramu katika masuala ya fedha na uwekezaji. Skendo hii inahusisha [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 05 (Ranieri rasmi Watford, Sanchez njia panda Inter Milan)
Mmiliki wa Newcastle United, Mike Ashley anajua njia pekee ya kumbadili kocha mkuu wa Newcastle ni kulipa kila kandarasi ya Steve Bruce ambayo alikuba [...]
Mfumo mpya wa maegesho Dar, fahamu jinsi ya kulipia, faida na changamoto zake
Mkoa wa Dar es Salaam umeanzisha mfumo wa kutoza ushuru wa maegesho kwa njia ya kieletroniki. Mfumo uliokuwa unatumika awali wa risiti za karatasi amb [...]
Serikali: Wafanyabiashara wadogo watengewe maeneo yanayofikika
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa kuzisimamia Halmashauri nchini ili kuhakikisha zinaandaa maeneo mazuri yanayofikika [...]
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 05, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumanne, Oktoba 05, 2021.
[...]
Video 5 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 04, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ;
[...]
Kamwe usimfanyie mwanaume mambo haya matatu
Katika mahusiano kuna vitu ambavyo hautakiwi kabisa kumfanyia au kumwambia Mwanaume wako. Haijalishi urafiki au ukaribu mlionao lakini kamwe usithubut [...]
Zijue faida za kula chakula cha usiku mapema
Adeline Munuo, mtaalamu wa lishe kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFCN), ameeleza kuwa mtu anayekula usiku muda mfupi kabla ya kulala huji [...]
Boss Shell, apongeza maboresho mazingira ya uwekezaji Tanzania
'Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya mtandao na Ben Van Beurden, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell yenye makao yake mak [...]