Author: Thani Chikira

1 9 10 11 12 13 27 110 / 270 POSTS
Njia 6 za kukabiliana na majanga ya moto

Njia 6 za kukabiliana na majanga ya moto

Hivi karibuni kumekuwa na majanga mengi ya moto ambayo husababisha uharibifu wa mali na kugharimu maisha ya watu, kutokana na miundombinu duni ya maje [...]
No Time to Die: mashaka yaliyojaa majuto

No Time to Die: mashaka yaliyojaa majuto

Filamu ya “No Time To Die” inaanza na kwa kumuonesha James Bond na Madeleine Swan wakiwa katika mji wa Matera uliopo kusini mwa nchi ya Italia. Ni mud [...]
Apigwa na kufariki akimgombania mhudumu Bar

Apigwa na kufariki akimgombania mhudumu Bar

Kijana mmoja David Andega (24), kutoka kaunti ya Homa nchini Kenya amefariki duniani baada ya kupigwa na jiwe kichwani wakati akipigana kisa mhudumu w [...]
Jibu la Ferrari chanzo cha kuzaliwa Lamborghini

Jibu la Ferrari chanzo cha kuzaliwa Lamborghini

Katika maisha si kila mtu anaweza kupokea ushauri na kuufanyia kazi, au kukosolewa akaridhika na kuyafanyia kazi makosa yake. Ni ngumu kujihariri mapu [...]
Namna 5 za kudumisha penzi la mbali

Namna 5 za kudumisha penzi la mbali

Mahusiano ya mbali yanaweza kuwa magumu kwa baadhi ya watu, wengi wameishia kulia kutoka na mahusiano ya namna hii. Lakini japo ya changamoto zake, zi [...]
Wanahitajika maafisa mauzo 70, tuma maombi

Wanahitajika maafisa mauzo 70, tuma maombi

Afisa Mauzo (Financial Advisors) 70 Positions at Sanlam November, 2021. Sanlam is a South African financial services group headquartered in Bellville, [...]
Facebook yaonya matumizi ya Parody (akaunti feki)

Facebook yaonya matumizi ya Parody (akaunti feki)

Facebook imeiandikia jeshi la polisi la Los Angeles (LAPD) kuacha matumizi ya akaunti fake ambazo wanazitumia kwa ajili ya kuchunguza wahalifu mitanda [...]
Polisi Uganda yaua washukiwa watano wa ISIS

Polisi Uganda yaua washukiwa watano wa ISIS

Polisi nchini Uganda wameua watu watano na kukamata wengine 21 wanaoshukiwa kuhusika kwenye milipuko miwili ya mabomu iliyotokea juma lililopita ambap [...]
Exclusive: Rayvany amuangukia Konde Boy

Exclusive: Rayvany amuangukia Konde Boy

Nyota kutoka Konde Gang, Harmonize amesema kwamba Rayvanny alishawahi kumpigia simu zaidi ya mara 5 akimtaka asivujishe sauti yake inayosikika akionge [...]
Wabakaji kuhasiwa kwa kemikali

Wabakaji kuhasiwa kwa kemikali

Wabunge wa Pakistan wamepitisha sheria ambazo zitaruhusu kuharakishwa kwa kesi pamoja na adhabu kali dhidi ya wabakaji ikiwemo kuwawekea kemikali kwen [...]
1 9 10 11 12 13 27 110 / 270 POSTS
error: Content is protected !!