Author: Thani Chikira

1 11 12 13 14 15 27 130 / 270 POSTS
Nchi zilizohalalisha kilimo cha bangi Afrika

Nchi zilizohalalisha kilimo cha bangi Afrika

Bangi imelimwa miaka mingi sana barani Afrika, licha ya kwamba nchi nyingi zimekuwa na sheria za kuzuia utumiaji wa zao hilo, sheria ambazo zilirithiw [...]
Jeshi la Umoja wa Ulaya (EU) lawafuata magaidi Msumbiji

Jeshi la Umoja wa Ulaya (EU) lawafuata magaidi Msumbiji

Wakati vita dhidi ya magaidi ikipamba moto nchini Msumbiji katika eneo la Cabo Delgado, Umoja wa Ulaya umeazimia kujiunga na SADC pamoja na Rwanda kup [...]
Breaking: Mfahamu mtu wa pili kupona virusi vya UKIMWI duniani

Breaking: Mfahamu mtu wa pili kupona virusi vya UKIMWI duniani

Mwanamke mmoja kutoka Taifa la Argentina amekuwa mtu wa pili duniani kuingizwa kwenye kumbukumbu ya watu waliopona virusi vya UKIMWI bila kutumia dawa [...]
10 kubwa kuhusu Rashid Mfaume Kawawa (May 27, 1926 – December 31, 2009)

10 kubwa kuhusu Rashid Mfaume Kawawa (May 27, 1926 – December 31, 2009)

  1. Kawawa alikutana na Nyerere wakiwa wanafunzi Shule ya Tabora Boys. 2. Kawawa alimgomea baba yake mzazi kuendelea na masomo Chuo Kikuu [...]
Utafiti: Wanaolala muda huu hatarini kupata maradhi ya Moyo

Utafiti: Wanaolala muda huu hatarini kupata maradhi ya Moyo

Utafiti mpya kutoka Chuo Kikuu cha Exeter umetoa muda mzur wa kulala kupunguza hatari ya kupata magonjwa/maradhi ya moyo. Utafiti huu umechapishwa [...]
Jifunze njia 5 za asili za kujikinga na Malaria

Jifunze njia 5 za asili za kujikinga na Malaria

Kwa mujibu ripoti ya WHO mwaka 2019, kulikuwa na visa milioni 229 vya Malaria duniani kote. Katika mwaka huo, watu 409,000 walikufa kwa ugonjwa huo ha [...]
Nafasi 122 za kazi Shirika la Reli Tanzania (TRC)

Nafasi 122 za kazi Shirika la Reli Tanzania (TRC)

EMPLOYER TANZANIA RAILWAYS CORPORATION (TRC) Click the job Title for  more information and application details ENGINEERS II (ELECTRICAL) – 2 POS [...]
Jifunze njia 5 rahisi za kung’arisha meno yako bila kuingia gharama

Jifunze njia 5 rahisi za kung’arisha meno yako bila kuingia gharama

Walio wengi wanatamani kuwa na meno meupe yanayong’aa, mara nyingi tunajitahidi kupiga mswaki lakini unakuta bado meno hayang’ai kama vile tunavyotara [...]
Exclusive: Harmonize ndani ya penzi jipya, mcheki hapa

Exclusive: Harmonize ndani ya penzi jipya, mcheki hapa

Msaani na mmiliki wa lebo ya muziki ya Konde Gang kutoka nchini Tanzania, Rajab Abdul maarufu kama Harmonize amemuonyesha rasmi mpenzi wake mpya Brian [...]
Jack wa Jux aachiwa huru

Jack wa Jux aachiwa huru

Mrembo wa Tanzania, Jackie Cliff ambaye alifungwa gerezani nchini China baada ya kukamatwa Disemba 19, 2013 akijaribu kuingiza dawa za kulevya aina ya [...]
1 11 12 13 14 15 27 130 / 270 POSTS
error: Content is protected !!