Author: Thani Chikira
Joh Makini amtolea uvivu Sallam SK
Moja kati ya nyimbo kubwa ambazo Joh Makini amewahi kufanya ni pamoja na “Don’t bother” ambayo alimshikirisha msanii kutoka Afrika Kusini maarufu kama [...]
Unaelewa nini ukisikia akiba ya fedha za kigeni, faida zake ni zipi kwenye uchumi?
Rais Samia amehutubia taifa juzi katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka ambayo amegusia mambo kadhaa ikiwemo salamu za mwaka mpya, mafanikio ya serikal [...]
Vigezo vya mtu kuitwa mfungwa wa kisiasa. Je, Mbowe ni mfungwa wa kisiasa?
Kiongozi wa Chama cha Upinzani cha ACT Wazalendo nchini Tanzania Zitto Kabwe, amenukuliwa mara kadhaa kupita mitandao ya kijamii, akisema kwamba Mweny [...]
Shaka amtolea uvivu Mbatia
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amemtaka Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia kuba [...]
Mkazi wa Mbeya ajikuta juu ya mti mkoani Masasi fofofo
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, mkazi mmoja wa mkoani Mbeya, Saili Juma (27), amejikuta wilayani Masasi, mkoani Mtwara akiwa amelala juu ya m [...]
Wapiga dili watorosha Kontena 400 Bandarini, mamlaka yashtuka
Kutokana na taarifa za awali zinadai kuwa zaidi ya Kontena 400 zimetoroshwa katika maeneo mbalimbali ya bandari kavu jijini Dar es Salaam, Kontena hiz [...]
ACT waanza mchakato ukusanyaji maoni Tume Huru Ya Uchaguzi
Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amesema kuwa uongozi wa ACT Wazalendo umeiagiza ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa chama hicho kukusanya maoni ya w [...]
Wasafi TV wapewa kibano na TCRA
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekipiga faini ya Sh milioni mbili kituo cha Televisheni cha Wasafi kwa kosa la kurusha maudhui yasiyo na stah [...]
Jinsi ya kumfundisha mtoto kuchukua tahadhari ya Uviko-19
Mtu mzima anauwezo mkubwa wa kuelewa maelekezo kwa haraka, mfano ukimuwekea ndoo ya maji ya kunawa na sabni atajua kuwa anatakiwa kunawa na ukimpatia [...]
Zanzibar: Ajikata korodani na kuzitumbukiza chooni
Mbarouk Abdalla mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa Fuoni Wilaya ya Magharibi B, Unguja amejikata sehemu zake za siri na kuondoa korodani moja na kuitumb [...]