Author: Thani Chikira
Rais Samia kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 18 Septemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea New York nchin [...]
Songea namba 7 miji inayokua kwa kasi zaidi duniani
Ifikapo mwaka 2025 idadi ya watu duniani inakadiriwa itafika bilioni 8.1. Katika kipindi hiki miji mingi barani Ulaya imekuwa ikikua kwa kasi ndogo, l [...]
Utafiti: Harufu mbaya ya ushuzi inazuia Kansa, magonjwa ya akili
Pale unapohisi hali ya tumbo kujaa “gesi”, suluhu pekee huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo. Habari njema kwa mujibu wa wanayansi toka Chuo Kikuu [...]
Serikali yatoa tahadhari homa ya uti wa mgongo
Serikali imewataka Watanzania kuchukua tahadhari kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo uliotokea katika jimbo la Tshopo nchini DRC Cong [...]
Je, kuna maisha baada ya kifo?
Einstein anaamini kwamba, hapo ulipo sasa hivi, ulishawahi kufa miaka zaidi ya trilioni nyuma, ni sawa na bado haujazaliwa. Kifo ni kitu amb [...]
Vijana 500 wapewa siku 7 kuondoka mkoa wa Kilimanjaro baada ya kutapeliwa
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Steven Kagaigai, ametoa siku saba kwa vijana zaidi ya 500, wanaodaiwa kutapeliwa ajira na kampuni ya Alliance Motion in G [...]
Vyakula 6 vinavyoongeza Nguvu za Kiume Haraka
Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo meng [...]
Tetesi za soka ulaya.
POGBA KUONGEZA MKATABA
KIUNGO wa kati wa Ufaransa, Paul Pogba mwenye umri wa miaka 28, ambaye amehusishwa na uhamisho wa kujiunga na PSG na Real Madr [...]
Hizi hapa sifa 13 za iPhone 13
- Ina umbo jembamba ambalo utafiti unaonesha watu wengi wanapenda simu nyembemba kwa sasa.
- Kioo chake kina teknolojia mpya aina ya ‘Cer [...]
Utalipwa Milioni 3 kutazama filamu za kutisha
Inaonekana kuwa kazi ngumu na ya kutisha, lakini ni njia rahisi pia kuingiza fedha.
Kampuni ya FinanceBuzz huko nchini Marekani inatafuta mtu ambay [...]