Author: Thani Chikira
Rais Samia aagiza ujenzi wa Shule za ghorofa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan, amesema ni vyema ujenzi majengo ya shule nchini ufanyikie kwa mtindo wa ghorofa ili k [...]
Harmonize akasirishwa, atema nyongo
Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania, Harmonize ambaye pia ni balozi wa usafi jijini Dar es Salaam aliyeteuliwa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa huyu Mh [...]
Mtanzania arudishwa kutoka India baada ya kugundulika na kirusi kipya cha UVIKO-19
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Profesa Abel Makubi amesema Serikali imeanza kufuatili taarifa za abiria al [...]
Rais Samia Suluhu awasha moto Mamlaka ya Bandari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mkurugenzi Mkuu wa bandari na mkurugenzi mkuu [...]
Utafiti: Zijue kemikali na hewa zinazochangia kushuka kuzaliwa kwa watoto wa kiume
Uwepo wa hewa na kemikali chafuzi kwenye maji na hewa kunaweza kuchangia mabadiliko ya uwiano katika kuzaliwa kwa watoto wa kike na watoto wa kiume. U [...]
TAKUKURU Kuanza kufuatilia Matumizi ya Trilioni 1.3
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa umma na utawala bora, Deogratius Ndejembi ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (T [...]
Samaki aliyevuliwa kwa siri auwa 6 Zanzibar
Jumla ya watu 6 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 11 wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Wilaya ya Micheweni, watu hao wabasadikika [...]
Vivutio vinne (4) vya utalii visivyokuwa na kiingilio Dar
Maana ya utalii ni kutoka na kutembelea sehemu fulani aidha kwa kujifunza au kustarehe tu. Kila mtu ana aina ya vivutio anavyopenda kutembela, wapo wa [...]