Author: Thani Chikira
GRAMMYS 2022: Afrika yaingiza watano (5) wasome hapa
Muda huu majina ya wasanii mbalimbali duniani yanatajwa kwenye vipengele mbalimbali kwenye kinyang'anyiro cha kura tuzo mbalimbali. Hizi zitakuwa tuzo [...]
Trump akabidhiwa mkanda wa mapigano
Rais aliyepita wa Marekani Donald Trump ametunukiwa mkanda wa heshima. Rais Donald Trump amekabidhiwa mkanda mweusi na taasisi na Chuo cha Taekwondo c [...]
Reginald Mhango: Mwanahabari aliyemnusuru Mwalimu Nyerere kuuawa kwa risasi
Reginald Mhango, aliingia Tanganyika mwanzoni mwa miaka 60 akitokea nchini Malawi ambapo alifukuzwa na kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Tanzania. Taif [...]
Aunty Ezekiel amkaanga Ruby
Mwigizaji wa filamu kutoka nchini Tanzania, Aunty Ezekiel ambaye pia ni mke wa msanii Kusah, amesema kwamba aliyewahi kuwa mchumba wa mume w [...]
Lukuvi kutafuta suluhu na madalali
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, William Lukuvi anatarajia kukutana na madalali wa nyumba na viwanja jijini Dar es Salaam Desemba 13 mwaka huu baada [...]
Dj Sinyorita aibeba Tanzania AFRIMA 2021
DJ Sinyorita kutoka nchini Tanzania ameibuka kidedea kwenye tuzo za AFRIMA 2021 usiku wa jana baada ya kushinda kipengele cha DJ bora Afrika kwa mwaka [...]
Umeme kitendawili, Makamba ashuhudia uhafifu wa maji Ruaha
Waziri wa Nishati Mhe January Makamba ameanza ziara katika mito inayoingiza maji katika mabwawa ya vituo vyote vya kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu y [...]
Kigoma: Shaka afichua wahusika upotevu wa bilioni 2
Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamidu Shaka, amewataja wanaohusika na upotevu wa zaidi ya Sh. Bilioni 2 kila mwezi ka [...]
TAKUKURU yashikwa pabaya wizi wa madini Mererani
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Mohammed Mchengerwa, ametoa wiki mbili kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa T [...]