BASATA yampiga spana Steve

HomeBurudani

BASATA yampiga spana Steve

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limeingia kati mgogoro kati ya baadhi ya wasanii na Shirikisho la Muziki Tanzania kuhusu uteuzi wa Msemaji wa Wanamuziki hao ambao hivi karibuni shirikisho hilo lilimteua Bw. Steven Magere maarufu kama Steve Nyerere.

BASATA wameandika barua yakumsimamisha Steve kuanza kazi zake ampa pale majibu kamili yatakapotoka kuhusu hatima yake ndani ya Shirikisho hilo.

error: Content is protected !!