Bei ya mafuta yashuka

HomeKitaifa

Bei ya mafuta yashuka

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini.

Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 5 Oktoba 2022 saa 6:01 usiku.

Cap-Prices-for-Petroleum-Products-wef-5-October-2022-Kiswahili
error: Content is protected !!