Category: Kimataifa
Mahakama yatupilia mbali ombi la Ruto
Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali ombi la Rais Mteule William Ruto la kupinga matumizi ya hati ya kiapo iliyowasilishwa na John Githongo, [...]
Msako mifuko ya plastiki kuanza leo
Msako wa kukamata mifuko ya plastiki katika masoko jiji la Dar es Salaam unaanza leo. Wiki iliyopita Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla alitoa agizo hilo [...]
Japan kutoa Dola bilioni 30 za miradi, mazingira Afrika
Serikali ya Japan imeahidi kutoa dola za Marekani bilioni 30 (sawa na Sh 69.9 za Tanzania) kuziwezesha nchi za Afrika kutekeleza miradi ya maendeleo n [...]
Fahamu kuhusu hali ya Uviko-19 duniani
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dk. Tedros Ghebreyesus amesema watu hawapaswi kujisahau wala kuchukulia kama janga la Uviko-19 l [...]
UTAFITI TWAWEZA : Fursa nyingi za ajira zinapatikana vijijini
Taasisi isiyo ya kiserikali ya TWAWEZA imesema utafiti uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya simu ambapo jopo la wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu umeon [...]
Mapya kwenye iPhone 14
Kampuni ya Apple itazindua simu mpya ya iPhone 14 mapema mwezi ujao ambayo inatajiwa kuja na mambo mbalimbali mazuri ikiwemo kuboresho muundo na kamer [...]
Mahakama yamtoza mtoto wa Simbachawene faini laki 2
Mfanyabiashara, James Simbachawene (24) ambaye ni mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, amehukum [...]
Orodha ya Waombaji waliodahiliwa zaidi ya Chuo Kimoja
Orodha ya Waombaji waliodahiliwa zaidi ya Chuo Kimoja au Programu zaidi ya moja
[...]
Karani wa Sensa ajinyonga Tabora
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Batilda Buriani ametoa taarifa ya kifo cha mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa [...]
Wenye ulemavu wamshukuru Rais Samia kwa utaratibu mzuri wa sensa
Walemavu wa viungo mkoani Mtwara, wameishukuru serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuweka utaratibu mzuri ambao umewawezesha kushiriki kik [...]