Category: Kimataifa
Wapata mtoto wa kiume
Mwanamuziki nyota Rihanna na rapa A$AP Rocky wameripotiwa kupata mtoto wao wa kwanza, baada ya ujauzito ambao mwimbaji huyo alijidhihirisha katika ure [...]
Nchi 10 zenye furaha Afrika
Toleo la 10 la Ripoti ya Furaha Duniani, uchapishaji wa Mtandao wa Sustainable Development Solutions wa Umoja wa Mataifa, umetumia uchanganuzi wa takw [...]
Elon Musk asita
Bilionea Elon Musk amesema amesitisha kwa muda mchakato wa ununuzi mtandao wa Twitter wenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 44 (Sh102.3 trilioni) [...]
Unaweza kutoka katika makundi kimyakimya
WhatsApp inafanyia kazi kipengele kipya ambacho kitakuwezesha kuondoka kwenye vikundi kimyakimya kwani mara nyingi si vizuri unapoachana na gumzo la k [...]
Balozi Mulamula ateta na wafanyabiashara wa Switzerland
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka N [...]
Leo afariki dunia
Muigizaji wa Nollywood Leo Mezie amefariki dunia Jumamosi mwezi Mei tarehe 14 mwaka huu jijini Abuja alipokuwa anaugua baada ya kupandikizwa figo.
[...]
Sauti Sol kukishtaki Chama cha Azimio
Bendi maarufu ya Afropop Sauti Sol imetishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya chama cha muungano cha Azimio La Umoja kwa madai ya ukiukaji wa hakim [...]
Waziri angongwa na bodaboda
Ofisa wa ngazi ya juu katika Serikali na chama cha upinzani cha Sudan People’s Liberation Movement in Opposition(SPLM-IO), Lual Lual Gau, amejeruhiwa [...]
Tanzania yaguswa na kifo cha Rais wa UAE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi LIberata Mulamula (Mb) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Umoja wa Fal [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 14, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]