Category: Kimataifa

1 28 29 30 31 32 61 300 / 604 POSTS
Unaweza kutoka katika makundi kimyakimya

Unaweza kutoka katika makundi kimyakimya

WhatsApp inafanyia kazi kipengele kipya ambacho kitakuwezesha kuondoka kwenye vikundi kimyakimya kwani mara nyingi si vizuri unapoachana na gumzo la k [...]
Balozi Mulamula ateta na wafanyabiashara wa Switzerland

Balozi Mulamula ateta na wafanyabiashara wa Switzerland

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka N [...]
Leo afariki dunia

Leo afariki dunia

Muigizaji wa Nollywood Leo Mezie amefariki dunia Jumamosi mwezi Mei tarehe 14 mwaka huu jijini Abuja alipokuwa anaugua baada ya kupandikizwa figo. [...]
Sauti Sol kukishtaki Chama cha Azimio

Sauti Sol kukishtaki Chama cha Azimio

Bendi maarufu ya Afropop Sauti Sol imetishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya chama cha muungano cha Azimio La Umoja kwa madai ya ukiukaji wa hakim [...]
Waziri angongwa na bodaboda

Waziri angongwa na bodaboda

Ofisa wa ngazi ya juu katika Serikali na chama cha upinzani cha Sudan People’s Liberation Movement in Opposition(SPLM-IO), Lual Lual Gau, amejeruhiwa [...]
Tanzania yaguswa na kifo cha Rais wa UAE

Tanzania yaguswa na kifo cha Rais wa UAE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi LIberata Mulamula (Mb) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Umoja wa Fal [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 14, 2022

Viwango vya kubadili fedha Mei 14, 2022

Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Wabunge waomba mshahara milioni 23

Wabunge waomba mshahara milioni 23

Wabunge wa Kenya wameomba ongezeko la 62% ya mshahara wao ili kufikia shilingi milioni 1.15 ya Kenya sawa na milioni 23 za Kitanzania. Wabunge hao [...]
Ushahidi wa mauaji mikononi mwa Tumbili

Ushahidi wa mauaji mikononi mwa Tumbili

Kesi ya mauaji iliyotokea 2016 imeahirishwa baada ya Tumbili kuiba ushahidi nyeti wa kesi hiyo. Polisi wa Rajasthan hivi karibuni wameshindwa kufik [...]
Kilichomtesa Rais wa UAE kwa miaka 8

Kilichomtesa Rais wa UAE kwa miaka 8

Rais Sheikh Khalifa bin Zayed al-Nahyan wa Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates) amefariki dunia hii leo akiwa na umri wa miaka 73. Kwa [...]
1 28 29 30 31 32 61 300 / 604 POSTS
error: Content is protected !!