Category: Kitaifa
Aliyekuwa Meya autaka tena umeya
Meya wa zamani wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Juma Raibu aliyevuliwa wadhifa huo baada ya kupigiwa kura za siri na madiwani za kukataliwa am [...]
Mambo safi uwekaji alama za vibao
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amepokea taarifa ya utekelezaji wa awamu ya pili ya zoezi la anuani za Makazi ikihusisha uwekaji wa al [...]
Wachochezi bei ya umeme na Loliondo wasakwa
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema serikali imesema itawashitaki waliohamasisha wananchi wafanye vurugu Loliondo na wanaopotosha kuhusu h [...]
Magazeti ya leo Juni 13,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Juni 13,2022.
[...]
Askari auawa kwa mshale Ngorongoro
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amewataka wananchi Wa Tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro Kuwa watulivu na kusikiliza maelekezo ya serika [...]
Rais Samia aliwaza mbali nyongeza ya mishahara
Mei 14,2022 , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alitimiza ahadi yake ya kuongeza mishahara kwa kutangaza kima cha chin [...]
Ngorongoro mambo safi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu ametoa fedha kukamilisha mchakato wa wananchi kuhama kutoka Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomer [...]
Ukweli kuhusu wakazi wa Ngorongoro
Serikali imesema wananchi wa maeneo ya Loliondo wapo salama ikibainisha kuwa “hakuna mapambano yoyote” kati ya polisi na wakazi hao wa kaskazini mwa [...]
Makamba afanya uteuzi
Waziri wa Nishati, January Makamba amefanya uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
[...]
Sabaya ashinda kesi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake sita katika kesi ya uhujumu uchumi namba [...]