Category: Kitaifa
Sabaya aachiwa
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzie wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga adhabu ya miaka 30 jela na kuachiwa huru.
M [...]
Bunge lampa Makamba siku 6
Wabunge wameitaka serikali kuja na mkakati wa dharura wa kunusuru kupanda kwa bei ya mafuta, huku wengine wao wakitaka kupunguzwa kwa baadhi ya tozo k [...]
Unakipenda kifo zaidi ya unavyodhani
"Enjoy! Maisha ni mafupi" kamsemo wanachoambiwa vijana wengi bila kujua ukubwa wake na namna unavyoweza kugharimu maisha yao.
Utasikia Jamilla anas [...]
Waziri Mkuu: Bei zitashuka
Katika kikao kilichofanyika usiku wa kuamkia leo Mei 5, Dar es Salaam, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia za kupun [...]
Vijana wamvamia bibi, wamng’oa ndonya
Vijana wanne katika kijiji cha Namangale walikamwatwa kwa kosa la kumvamia bibi kizee mwenye umri wa miaka 83 na kumng’oa ndonya yake mdomoni kwa leng [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 5, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Huduma za Twitter kulipiwa
Bilionea Elon Musk ambaye ndiyo mmiliki wa mtandao wa Twitter ameshikilia msimamo wake wa kuleta mabadiliko kwenye mtandao huo ikiwemo kulipia huduma [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 4, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Pigo jipya bei za mafuta
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zitaanza kutumika kuanzia kesho Jumatano May 04, 2022.
[...]
Rais Samia: Hayajamkuta nduguyo
Rais Samia Suluhu Hassan amewaasa waandishi wa habari pamoja na wananchi kuitumia vyema mitandao ya kijamii kwa kuzingatia aina ya maudhui wanayorusha [...]