Category: Kitaifa
Matumaini kero za muungano
Huku leo Aprili 26, 2022 Tanzania ikisherehekea Muungano wa Tanzania unaoundwa na Tanganyika na zanzibar, kero 18 kati ya 25 zimetatuliwa.
Waziri w [...]
Nauli 700
Bei ya nauli ya bajaji za kuchangia mkoani Mbeya zimepanda hadi kufikia 700 baada ya bei hiyo kudumu kwa miaka tisa sasa.
Akizungumza na Nipashe, M [...]
Agizo la Dkt. Mpango kwa Nape
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ku [...]
Umoja Party wamlilia Rais Samia
Uongozi wa Chama cha Umoja Party umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati kuhakikisha wanapata haki yao ya usajili katika Ofisi za Msajili w [...]
CCM kuimarisha muungano
Ikiwa leo Aprili 26, 2022 siku ya kuadhimisha Muungano katika ya Tanganyika na Zanzibar, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kwamba hakitaacha kuendele [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 26, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Air Tanzania: Ndege zipo salama
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetoa ufafanuzi kuhusiana na habari iliyosambaa mitandaoni kuhusu hali ya matairi ya ndege zake ambayo inadaiwa kuwa [...]
8 wafariki, ajali ya basi la shule
Watu nane wamefariki dunia na wengine 19 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea mkoani Njombe kati ya basi la shule aina ya coaster na lori.
Coaster hi [...]
TCU, UTUMISHI MBADILIKE
Hivi karibuni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Utumishi wa Umma na Utawala Bora), Jenista Mhagama ametangaza kuwa zaidi ya nafasi za ajira takribani 40,0 [...]
Mrithi wa Rwakatare apatikana
Takribani miaka 2 tangu kifo cha Mwasisi wa Makanisa ya Mlima wa Moto Mikocheni ‘B’, Getrude Rwakatare na sasa nafasi hiyo inachukuliwa na Rose Mgetta [...]