Category: Kitaifa
Lusinde: Zitto aombe radhi
Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde maarufu kama kibajaj amemtaka Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kuomba radhi kwa madai ya kumsema [...]
Historia fupi ya Mwai Kibaki kwenye siasa
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, leo Aprili 22 ametangaza msiba wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu wa nchi hiyo, Emilio Mwai Kibaki kilichotokea leo akiw [...]
Rais Samia aridhia vijiji 75 kuachwa Arusha
Waziri wa Wizara ya Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk Angeline Mabula amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia vijiji 75 vilivyokuwa katika [...]
Nauli mpya za mabasi
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), Gilliard Ngewe amesema mchakato wa kukusanya maoni kuhusu nauli mpya za mabasi y [...]
Maagizo ya Bashungwa zuio la bodaboda Dar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe. Amos Maka [...]
MBOWE: Hatutaki fedha za ruzuku
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesema kuwa chama chake hakitachukua Sh110 milioni za ruzuku ya Serikali kwa sababu kwa kufanya hivyo wata [...]
Polisi Kagera waupiga mwingi
Jeshi la Polisi mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na idara ya wanyama pori (TANAPA) limewakamata watuhumiwa 9 kwenye makosa mbalimbali ikiwemo kukutwa n [...]
Onyo kwa chama kipya cha Umoja Party
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, amesema ni kosa kisheria kwa chama cha siasa kilichowasilisha maombi ya usajili wa muda kufanya kazi kabla ya kupew [...]
SIMBA SC: Tunaomba Ulinzi
Klabu ya soka ya Simba imetoa taarifa kusikitishwa na kile wanachodai kuwa ni shutuma zilizotolewa na Kocha Msaidizi wa timu ya Orlando Pirates Mandla [...]
ACT- Wazalendo kooni mwa TAMISEMI
Ofisi ya Msemaji wa Kisekta wa Chama cha ACT- Wazalendo ikiongozwa na Bi. Kulthum J. Mchuchuli, imetoa maoni kuhusu hotuba ya bajeti ya TAMISEMI iliyo [...]