Category: Kitaifa
Tahadhari homa ya manjano
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Watanzania wanapaswa kuchukua tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjao uliopo nchini Kenya na kuahidi ku [...]
Maagizo ya Makalla kwa Taasisi hizi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amezielekeza Taasisi za TANROAD, TARURA, DAWASA NA TANESCO kuhakikisha wanaboresha utoaji wa huduma il [...]
Changamoto mwendokasi basi
Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) umesema mwaka huu utaongeza mabasi mengine mapya 95 ikiwa ni sehemu ya hatua za kupunguza msongamano wa abiria [...]
Waiba jeneza msikitini
Watu wasiojulikana katika kijiji cha Rivango, kata ya Mchauru, wilayani Masasi mkoani Mtwara, wamevunja mlango wa msikiti na kuiba jeneza linalotumika [...]
Rais Samia na fursa za uchumi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali inajipanga kukabiliana na changamoto za kiuchumi zinazosababishwa na jang [...]
Zungu amuahidi Samia urais 2025
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azan Zungu amemtaka Rais Samia Suluhu kutokuwa na wasiwasi kuhusu uchaguzi Mkuu ujao wa [...]
Sabaya atemwa
Wakili aliyekuwa akisimamia na kumtetea aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (35) na wenzake 6 amejitoa katika k [...]
Dakika 34 zamponza Davido
Mwanamuziki maarufu kutokea nchini Nigeria, Davido amelipishwa faini ya Euro 340,000 ambayo inakadiriwa kwa pesa za kitanzania ni zaidi ya Bilioni 1 n [...]
Samia atimiza ahadi yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inafanya jitihada ya kuweka mazingira rafiki ya kufundishia na kujif [...]
Wanaume Geita walilia wake zao
Wanaume mkoani Geita wanaodai kutendewa vitendo vya ukatili na wake zao ikiwamo kupigwa na kunyimwa unyumba wamejitokeza kwa wingi katika dawati la ji [...]