Category: Kitaifa
Mama aua watoto wake kisa ugumu wa maisha
Watoto wawili wa familia moja wamefariki dunia huku wengine watatu wakinusurika kifo baada ya kunyweshwa sumu na mama yao mzazi, Veronica Gabriel mkaz [...]
Mwanafunzi abakwa, atobolewa macho na Kuuwawa
Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Maendeleo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Zinati Alifa mkazi wa mtaa wa Mchema mwenye umri wa mia [...]
Kauli ya Jeshi la Polisi kuhusu kugeuza simu za wizi kuwa za biashara
Jeshi la Polisi nchi Tanzania leo November 30 limetoa taarifa kufuatia kuwepo kwa taarifa mbaya kuhusu jeshi hilo, Mnamo Novemba 29 mwaka huu kuna taa [...]
Upandikizaji Uboho sasa kufanyika Muhimbili
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imeanza rasmi upasuaji na upandikizaji wa uboho( jina la kitaalam, Bone Marrow, ni ute unaopatikana ndani ya mifup [...]
Vanessa Mdee adai kutolipwa na Standard Chartered
Aliyewahi kuwa nyota wa muziki nchini Tanzania, Vanessa Mdee a.k.a Vee Money amewataka wasanii na watu maarufu nchini kuwa makini na kampuni zinazowac [...]
NHC yawashukia wadaiwa sugu
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linatarajia kuanza kuwaondoa wapangaji wa nyumba zake ambao ni wadaiwa sugu huku kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Wizar [...]
Tahadhari kirusi kipya cha Corona
Wizara ya Afya Tanzania imetoa tahadhari kwa Watanzania kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu wa afya kujikinga na maambukizi ya kirusi kipya cha Cor [...]
Rais Samia atoa maelezo kuhusu wanafunzi waliojifungua kuendelea na masomo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu ametilia mkazo agizo la Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako kwamba wanafunzi wote waliopata ujauzi [...]
Wananchi walia kupanda bei ya gesi
Baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wamelia na kulalamikia kuhusu kupanda kwa bei ya gesi ya kupikia nchini tangu Agosti mwaka huu, na bado sababu [...]